Ndugu zangu, naomba kwa umoja wetu au mmoja mmoja, pindi utakapopata muda upite kwa majirani zetu ambao walikua na mgonjwa lakini alipoanza kula wakahisi amepona, sasa taarifa ni kwamba mgonjwa huyo amekufa (Chelsea), naomba mtu akipata muda apite pale msibani kuwapa pole maana ule msiba ni mzito sana kwao, bila sisi kuwafariji watakua katika hali mbaya sana, huenda wengine wakajiua kabisa maana hawajawahi kupata msiba kama huu.
:(:(:(:(:(
Maendeleo hayana team...
 
Arsenane wameshika nafasi ya 5 sababu ya herufi A basi wamefurahiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana haongozi kwa herufi A.

Arsenal na Chelsix wana points sawa na GD sawa.

• Arsenal amefunga magoli 53
• Chelsix amefunga magoli 45

Kwahiyi Arsenal anaongoza kwasababu amefunga magoli menhi kuliko Chelsix.

EPL (FA) hawaangalii Head2Head ! Ingelikuwa wanaangali H2H pia Arsenal angelikuwa juu ya Chelsix.
 
Siku na game yetu yatakua mbogo haya ma chelsix nadhan na sisi wkend tuwawekee full mkoba
 
All in all MAN CITY ANA KIKOSI KIPANA yaani inatoka AK47 inaingia AK47 nyingne UWEKEZAJI unalipa aiseee
City wamewekeza kweli.
Fikiria anatoka Kun anaingia Jesus, wote hawa wanaweza kupunguza mabeki na ni tishio kwa walinzi.
Kwetu Lukaku hata mpira kuutuliza ni kazi,kuuweka kifuani ndio mtihani kabisaa.

Bench la Citizens ukiliangalia linakupa matumaini maana wachezaji wapo kwenye viwango vyao,sisi leo anacheza vizuri kesho hamna kitu.
 
Kabisa aisee leo aumie pogba au herera au matic tayar tafrani ila city wana benjemin mendy fundi majeruh hata hatumkumbuki kuna mda dkk za mwisho anaingia silva dah hapo sane katulia nje gabriel jesus nae jamaa sio wa kuwachukulia poa they are real serious toka pep atimbe

Amini nakuambia na userious wao wote pep hatonyanyua ndoo ya epl mara tatu kabla hajafukuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana haongozi kwa herufi A.

Arsenal na Chelsix wana points sawa na GD sawa.

• Arsenal amefunga magoli 53
• Chelsix amefunga magoli 45

Kwahiyi Arsenal anaongoza kwasababu amefunga magoli menhi kuliko Chelsix.

EPL (FA) hawaangalii Head2Head ! Ingelikuwa wanaangali H2H pia Arsenal angelikuwa juu ya Chelsix.
 
Attachments

  • Screenshot_20190211-024457.png
    Screenshot_20190211-024457.png
    29.6 KB · Views: 21
Kabisa aisee leo aumie pogba au herera au matic tayar tafrani ila city wana benjemin mendy fundi majeruh hata hatumkumbuki kuna mda dkk za mwisho anaingia silva dah hapo sane katulia nje gabriel jesus nae jamaa sio wa kuwachukulia poa they are real serious toka pep atimbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarudi kwenye hoja ya José

Matajiri wa timu yetu ni mabahiri sana

Pep kapewa pesa na mwarabu akasajili timu nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom