Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mlitamba sana miaka ya nyuma hapo lkn ss Mungu anatak kuwaonesha kila lenye mwanzo lina mwisho.
Hii team mtu pekee anaweza kuifufua ni waarabu lkn Mungu anavotaka kuwapa funzo, Glazzers nao hawatak kuuza team kwa mwarabu😂.. Yan kudadeki zenu kazi mnayo mbona... Mliona liver na Arsenal mafala walivo anguka ss sbrn muone kama hamfiki 30 kimasihara bila Epl kuliona.