BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Hii hapa chiniArsenal katupita mbali sana kiukwel wanaubonda kwel mpka roho inaniuma
Hii hapa chiniArsenal katupita mbali sana kiukwel wanaubonda kwel mpka roho inaniuma
Content ya Nani hiyo ,wewe manjesta ishakuchanganya akiliMwingine anaweza kusema anatumia mbinu hiyo ili kubypass press ya wapinzani wao kwenye msitari wake wa pili wa ulinzi.
Unapochukua content za watu uwe unatoa credit na una copy kama zilivyo siyo kuchagua zinazokufurahisha wewe tu.
Kila nikikumbuka Bellingham alifika Carrington nakata tamaa kabisa na hii timu.


Hii hapa chiniView attachment 2795905
Oya lile li-Sosha talent ID kipara akasome. 😂 Watu aliowataka wote ndiyo wanatoa burudani barani Ulaya.
Kila nikikumbuka Bellingham alifika Carrington nakata tamaa kabisa na hii timu.
Sosha namkubali mpaka keshoOya lile li-Sosha talent ID kipara akasome.Watu aliowataka wote ndiyo wanatoa burudani barani Ulaya.
Umecopy twitter.Content ya Nani hiyo ,wewe manjesta ishakuchanganya akili
Kwa Nani ,hayo maneno Ni yangu ,nikikopi kitu huwa natoa creditUmecopy twitter.
Leo tuombee bana, uache masimangoNyie jitahidi Leo mzuie hata sare basi
Leo sare, watakosakosa sana, watagonga miamba sana, VAR watakataa goal lkn full timeNyie jitahidi Leo mzuie hata sare basi
Leo tunawapiga 3-1Leo sare, watakosakosa sana, watagonga miamba sana, VAR watakataa goal lkn full time
Man u 0:0 man city




Labda mabao ya nyetoMAN U USHINDI WETU LEO
Nimewabetia
Man U 3
Mama cita 0
Hamchelewi kuja mnamlaumu onanaLeo tunawapiga 3-1