Ata Mimi ningekua Sancho, ningefanya Kama anachofanya sanchoHii team ndo ETH anataka Sancho aombe msamaha ndo acheze? Atasubiri sanaaa [emoji23][emoji23]
mimi ndiye raisi wa hii thread, tuzo, karipio na heshima zote natoa mimi.Bado hamjasema[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa Antony na Mount tuzo yake mmnampa lini? Au tuvute vute muda kidogomimi ndiye raisi wa hii thread, tuzo, karipio na heshima zote natoa mimi.
kijana apokee tuzo yake, au kama hatokuja kuchukua tuzo atume mwakilishi
yan mpaka waseme
kuhusu Antony hakuna aliyemkatalia humu ndani.Kwa Antony na Mount tuzo yake mmnampa lini? Au tuvute vute muda kidogo
kwamb sancho angefanyajLaana ya Sancho inawatafuna
Mnamkataza hadi kula, mnataka afe njaa
[emoji1666]kuhusu Antony hakuna aliyemkatalia humu ndani.