kuhusu Antony hakuna aliyemkatalia humu ndani.Kwa Antony na Mount tuzo yake mmnampa lini? Au tuvute vute muda kidogo
kwamb sancho angefanyajLaana ya Sancho inawatafuna
Mnamkataza hadi kula, mnataka afe njaa
kuhusu Antony hakuna aliyemkatalia humu ndani.






















😂😂😂😂Kwa kile alichofanya Anthony kwa Doku nitakua ni mtu wa mwisho kuamini kua wale wanawake waliomfungulia kesi ya kuwapiga walikua wanamsingizia. View attachment 2797221
Hivyo ndio wanakaba
