ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,548
- 7,986
Sijui kocha huyu ni mjinga kiasi gani.Antony Kwa game ya Leo anahitajika kwasababu ya pace yake, awakimbize kama alivyowakimbiza Neto
Sijui kocha huyu ni mjinga kiasi gani.Antony Kwa game ya Leo anahitajika kwasababu ya pace yake, awakimbize kama alivyowakimbiza Neto
Achana na mambo ya "hawakufanya mazoezi vizuri" ..mchezaji mzuri ni mzuri tu, hata kama mazoezi hakufanya vizuri. Yaani kipara amuweke Haaland nje kwa kuwa tu hakufanya mazoezi vizuri?Inawezekana kweli una hoja, Ila unajua fitness ya mount au Antony?
Unataarifa ya Mazoezini kuhusu hao wawili?
Acha kuangalia price tag ya wachezaji, Ericksen ni mzuri kuliko mount ukiacha kwamba anakata Moto mapema. Ambapo hapo ataingia huyo mount
hamis77 awaambie Mara ngapi kwamba Antony mmepigwa?

Taarifa iwafikie nyumbu
Rashford pamoja na kwamba huu ni msimu wake wa 10 hajawahi kufunga hat trick, ila Striker la mabao limeweka hat trick yake jana
Kwa hii FOMESHENI city tunamnywa goli tano.View attachment 2797050



Mkohoti hapa naona umeongea vice-verser, ila nimefarijika kukuona walau umekuja kutufariji, maana Man Utd na Chelsea sisi ni dugu moja. 


Rashford hapendi kusikia hizi kauliPale mbele mnafanya uchoyo Sana kuachia mpira haraka



Hojland anashikwa anaogopa kuanguka apate penalty..


Akijiangusha halafu akala kadi ya njano kwa kumdanganya refa pia mtamsema.Tierny huyo anachezesha leo , Penalty ya kijinga SanaHii penati kwa kweli duuuh! ni kweli kashikwa ila jinsi alivyoanguka duu! Pamoja na kuwa timu yetu sio nzuri akichezesha Tylaor au Michael Oliver gemu yetu kutoboa huwa ni ngumu sana sijui ni maono yangu au wote tunaona hivyo.
Asante kwa correction nilichanganya jina huyu refa huwa wa hovyo sana maamuzi yake huwa ni kama yakubahatisha bahatisha hivi ni kama hajiamini anapuliza philimbi kutwa hadi anapoteza ladha ya mchezo.Tierny huyo anachezesha leo , Penalty ya kijinga Sana
Mancity anabebwa Sana
Vs Arsenal waligoma kutoa red kwa kova
Cry more 😂Tierny huyo anachezesha leo , Penalty ya kijinga Sana
Mancity anabebwa Sana
Vs Arsenal waligoma kutoa red kwa kova