Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team yenu ni takataka kuliko hata maelezo.. Yan ni ovyo kbs.. Team haijulikana wanacheza hata kwa njia ipi had leo.. Yan nyie mateso mnayopitia sio ya kuisha leo wala kesho.

Narudia tena wenzenu liver mlikua mnawacheka kukaa miaka 30 bila kombe tena mkawa mnatamba mnasema nyie haitakaa itokee nawaambia kuja mbebe iyo EPL lbd muibe kwa city ambaye yuko jiran yenu lkn sio kubeba.

Kilichobaki ni kuiba
No way
 
Nasubiri post-match analysis nimsikie Roy Keane anavyoyamwaga.

Uzuri wake jamaa huongea ukweli ambao nyie mashabiki hamuupendi.
Snapinsta.app_396722532_880145376808261_8519859469981226940_n_1080.jpg
 
Nawaombea mshinde Jumatano

Why? Mkifungwa ETH atakuwa karibuni kufukuzwa na binafsi sipend afukuzwe

Man u ndio timu pekee top 6 inacheza mpira wa peke yake

Akifukuzwa kocha ajaye atafanya vzr , wachezaji mnawaona wabaya but wengi wazuri ila hawana proper structure

Prince Boateng anasema akiwa pale sassuolo na miaka 32 alikuwa Bora sana chini ya Di zerbi,anasema walikuwa wanatengenezewa structure mchezaji unakuwa na option had 6 zakupiga pass ukifanyiwa press

Angalia pale Brighton ,kina Dunk ,Gross wachezaji wa Cent 2 lakini wanapiga pass ,wale hata uwafunge kitambaa usoni ,hawapotezi mpira na wamekuwa wakifanya hivo hata kwa huyo Pep Guardiola

Tatizo la man u Ni poor structure ya kocha sio wachezaji
 
Usiogope, kwa sasa hakuna kocha anaweza tibu hawa Kondooo
 
Believe, tatizo sio wachezaji utakuja kunielewa iwapo atakuja kocha mpya

Brighton, Astonvilla au Newcastle Wana wachezaji gan wakuwazidi wa manjesta

Unajua wachezaji wa manjesta karibu wote wanatumikia National team zao vzr tu ,

Newcastle, Astonvilla, Brighton wachezaji wao wengi hawapo NT ,
 
Hii elimu unayowapa nchi za wenzetu ilibidi uwe unalipwa

Arsenal na city waweke pembeni
Utakuja kugundua wachezaji wengi wa nyumbu wanacheza timu zingine tena starting 11 ile

Shida ni Nini? Kocha au body ya nyumbu?
Unaweza ukafukuza kocha kumbe shida inaanzia juu
 
Back
Top Bottom