lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Mimi natamani mtu anayejua mpira aje aniambia falsafa ya timu yetu ni ipi na style yetu ya uchezaji ni ipi. Nikiangalia goli la pili la Haaland napata hasira kabisa. Mtu anapiga kichwa kama yupo uani anacheza na watoto wake.
Wachezaji ni tatizo ila kocha ni tatizo zaidi.
Wachezaji ni tatizo ila kocha ni tatizo zaidi.