Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,873
- 233,393




Kabisa hiyo timu inaonekana wachezaji hawako drilled vizuri kwenye fitness au wana over train kiasi wanaenda kwenye mechi wakiwa wamechoka kupita kiasi.Fitness coach anakula hela za bure tu
Tayari! Nipo Brighton kwasasa kwasababu siwezi kushabikia timu yoyote kwenye PL Big 6.Uwez ondoka
The Seagulls tutakuwa hapo Emirates December kuendeleza uteja.Hahahahahahahaha
Nimeshawaachia timu "TOP REDS".Bado hujasema! 😂
Mapema sana nishajiweka kwa The Seagulls. Wiki hii tunawasogeza Everton Championship. 😃Brighton wapo vizuri
Basi wewe sio shabiki hahahTayari! Nipo Brighton kwasasa kwasababu siwezi kushabikia timu yoyote kwenye PL Big 6.
Hii timu ina utani sana kuanzia wamiliki mpaka wachezaji. Msimu uliopita Derby tumefunga 6 na City, 7 na Liverpool na wanaona kawaida tu.
Football ni entertainment wala huhitaji timu inayoshinda makombe kuwa shabiki. Wengi wanaona haiwezekani kuhama, mimi nimehama baada ya miaka mingi tu kiwa shabiki wa United.
Haha! Hata wachezaji kuna muda wanahama timu kwa sababu mbalimbali. Messi pamoja na mapenzi yake kwa Barca ulifika muda ikamlazimu aondoke.Basi wewe sio shabiki hahah
We jamaa pamoja na kwamba unakera na maneno yako lakini kiasi fulani una ukweli ndani yake.Nawaombea mshinde Jumatano
Why? Mkifungwa ETH atakuwa karibuni kufukuzwa na binafsi sipend afukuzwe
Man u ndio timu pekee top 6 inacheza mpira wa peke yake
Akifukuzwa kocha ajaye atafanya vzr , wachezaji mnawaona wabaya but wengi wazuri ila hawana proper structure
Prince Boateng anasema akiwa pale sassuolo na miaka 32 alikuwa Bora sana chini ya Di zerbi,anasema walikuwa wanatengenezewa structure mchezaji unakuwa na option had 6 zakupiga pass ukifanyiwa press
Angalia pale Brighton ,kina Dunk ,Gross wachezaji wa Cent 2 lakini wanapiga pass ,wale hata uwafunge kitambaa usoni ,hawapotezi mpira na wamekuwa wakifanya hivo hata kwa huyo Pep Guardiola
Tatizo la man u Ni poor structure ya kocha sio wachezaji
Dogo jana kapanic angekutaka na refa muhuni angekula umeme pale rafu ya wazi kabisa.Yule Antony mmepigwa tafuteni winga wa kueleweka.
Hao wachezaji si anasajili mwenyewe au analetewa!Erik ten Hag when asked when he will be able to play the same football with #mufc that he showed with Ajax:
“Never. We will never play that football. Because those were different players. This is also not why I came here. We are playing different football than I showed at Ajax because I have to, because I can't play the same way.
The players decide how you play. Ajax has a very typical and characteristic style of play, with Manchester United I will always show different football, I did so last year as well. We play much more direct football here because I have the players for that here.”
Maisha yanitese na Man U initese pia.??.