Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lindelof No. 3 anaiweza sana. Malacia na Reguilon bado sana.
 
Hojlund
JamiiForums-804113904.jpg
 
Hii penati kwa kweli duuuh! ni kweli kashikwa ila jinsi alivyoanguka duu! Pamoja na kuwa timu yetu sio nzuri akichezesha Tylaor au Michael Oliver gemu yetu kutoboa huwa ni ngumu sana sijui ni maono yangu au wote tunaona hivyo.
 
Tierny huyo anachezesha leo , Penalty ya kijinga Sana

Mancity anabebwa Sana

Vs Arsenal waligoma kutoa red kwa kova
 
Tierny huyo anachezesha leo , Penalty ya kijinga Sana

Mancity anabebwa Sana

Vs Arsenal waligoma kutoa red kwa kova
Asante kwa correction nilichanganya jina huyu refa huwa wa hovyo sana maamuzi yake huwa ni kama yakubahatisha bahatisha hivi ni kama hajiamini anapuliza philimbi kutwa hadi anapoteza ladha ya mchezo.
 
FA kama wanataka kumpa Pep NATIONA Team waongee nae tu sio kumbeba kifala

Mancity amekuwa mnufaika wa maamuzi ya utata

Everton kavunja FFP wanataka kumkata point

Mancity alivunja FFP na ana kesi 115 wanamuacha
 
Kichwa alichopiga Haaland akaokoa Onana alikipiga kama yupo mazoezini. Timu yetu bado inatakiwa kufanya uwekezaji kwa kununua wachezaji sahihi, nilikuwa nafikiri tuna wachezaji wazuri wengi lakini sikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom