May be
255746994900_status_21da9de686f543658f0197003de98018.jpg
 
Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Mimi huwa nawashangaa sana mashabiki na wachambuzi hasa kina Scholes wakimdharau Antony sijui huwa hawaoni hatar yake? Warejee ile mechi ya Arsenal alipotoka uwanja ulielemea kwetu.

Mchezaji anaweza asifunge goli au asitoe asist lakini the way anavyocheza anawafanya wapinzani wacheze kwa tahadhari kubwa hivyo kuwaharibia mipango yao. Hichi ndio nakiona kwa Antony tangu ametoka kombe la dunia amekuwa akikabwa na kukumbizwa na mtu zaidi ya mmoja pale anaposhika mpira. Hii mwanzo haikuwepo na ndio maana aliweza kushoot na kufunga magoli ya mbali rejea mechi ya city na arsenal ya kwanza.
 
schoolse skills yke kubwa kuliko wewe unaesh manzese una maarifa yoyote na mpira wa miguu kwani umecheza club gan wewe katika mchezaj ambae tenhag alibeti ni athony.
winger za kisasa zinapokuwa na mali mguuni zinaingia ndan kwa press ya hali ya juu ili kulazimisha makosa kwa mabeki wa upizani pass za maono na muunganiko mzur na wezake lkn athony akiwa na mpira ankimbilia kwenye chaki utatengeneza mazingira ya ushindi saa ngap anapoozesha mashambulizi anafanya safu ya ulinzi timu pizani kujipanga.
athony anao anao na mpira ni one touch fungua nikupasie kunamazingira ya kupiga chenga sio kila mpira unaopewa we unacheza na jukwaa hyu ni kama pogba na ujio wa mason greenwood kutamshinda nakupa hyo
 
Anachonikera anakatabia ka uselfish Ni mchoyo sana, labda ten hag atambadilisha hiyo tabia.
hyo na masuala madogo katika uchezaj na yanabadilishika wachezaj weng walivyokuwa katika age ya greenwood walikuwa wapo hivyo ata mbappe alikuwa na tabia hyo na neymar juniour lkn ukikuwa na ukipata mwalimu mzuri unachange tenhag ni kocha mzur atampa maelekezo hyo makosa utoyaona
 
Back
Top Bottom