Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Glazer ndani ya dubai
1675520804269.png
 
schoolse skills yke kubwa kuliko wewe unaesh manzese una maarifa yoyote na mpira wa miguu kwani umecheza club gan wewe katika mchezaj ambae tenhag alibeti ni athony.
winger za kisasa zinapokuwa na mali mguuni zinaingia ndan kwa press ya hali ya juu ili kulazimisha makosa kwa mabeki wa upizani pass za maono na muunganiko mzur na wezake lkn athony akiwa na mpira ankimbilia kwenye chaki utatengeneza mazingira ya ushindi saa ngap anapoozesha mashambulizi anafanya safu ya ulinzi timu pizani kujipanga.
athony anao anao na mpira ni one touch fungua nikupasie kunamazingira ya kupiga chenga sio kila mpira unaopewa we unacheza na jukwaa hyu ni kama pogba na ujio wa mason greenwood kutamshinda nakupa hyo
Vilaza mnaamini football analysts lazima wawe wamecheza mpira.

Neville na huyo Scholes wamepewa club wafundishe wameshindwa, wameishia kukimbilia kwenye media kupiga kelele.

Football analysis sio matako kila mtu anayo. Hiyo ni skill tena inasomewa darasani.
 
Back
Top Bottom