Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mahakama Si imemuona hana hatia? Sasa uchunguzi wa mahakama na wa klabu upi upo makini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kuna kiongozi mmoja wa simba alishtakiwa kipindi fulani huko nyuma ila baadae mahakama ikaona Hana hatia, juzi ameenda kuchukua nafasi za kugombea uongozi, club ya simba ikakata Jina lake kutokana na Sakata lake la mahakama...japo mahakama ilimuona Hana hatia

So kwa scenario ya Mason, tuipe muda club ijiridhishe kwanza.. Wenzetu wapo Makini kidogo hasa kwa kosa alilokuwa anatuhumiwa wanalichukulia seriously mno, mahaba yote kwa mchezaji wameweka pembeni...

Let's wait, time will tell
 
Kuna baadhi wa Mashabiki mtandaoni wanasema Greenwood akirudi itawahuzunisha sana..na wengine wanasema watakuwa wanamzomea..Haya ndo yanafanya hii ngoma kuwa ngumu.
 
Ruud van kamaliza Kila kitu
IMG-20230204-WA0118.jpg

Yeah,,,

Lazima club ijiridhishe,,,,

Mahaba sijui talent weka pembeni , wenzetu wako serious Sana na haya Mambo !!!!!

Sio jambo la kukurupuka tu ,,,,

Tena kipindi anakutwa na tuhuma ingekuwa club nyingine ingevunja kabisa mkataba ,,, uingereza wake umemsaidia !
 
Kuna baadhi wa Mashabiki mtandaoni wanasema Greenwood akirudi itawahuzunisha sana..na wengine wanasema watakuwa wanamzomea..Haya ndo yanafanya hii ngoma kuwa ngumu.
Ngoma ngumu mkuu,,,, naona pia club ime-act smart Sana kwa kusema bado wanachunguza kujiridhisha !!!!

Pengine club bado inamuhitaji mchezaji lakn hapa Kama wanazuga flani ili ku-balance Mambo kusiwe na kelele nyingi pindi wakimrejesha !
 
Back
Top Bottom