Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Soma hizo stats angalia na matokeo halafu utasema nani mropokaji.

1.67xG tulifunga magoli mangapi? Tena hapohapo Emirates tukiwa hatuna DM wetu. Tulikuwa tushawaweka sehemu mbaya hata kwa droo tu, City alikuwa anawapumulia na nyie nina 100% mtatoka 1st position kama siyo siku za karibuni, April lazima muachie.
Ww ropoka Ila ulitamba utashinda Emirates
 
Ww ropoka Ila ulitamba utashinda Emirates
Hiyo mechi tulikuwa na nafasi ya kuondoka hata na point Emirates na takwimu zilikuwa on point. United akiwa away ana 1.67xG na tulifunga magoli mawili lakini shida kubwa mchezaji muhimu kwenye defense yetu hakuwepo, tungewezaje kuizuia Arsenal kwa dk 90 isipate magoli zaidi ya mawili? Tulishindwa na nimekubali Arsenal walistahili points 3 lakini pamoja na dominance yao walishindwa kumaliza mechi mapema.

Msimu huu Man City tu ndiyo alifanya total dominance dhidi yetu, walitukamata kila mahali ile mechi ya kwanza.
 
Angalia takwimu utajua yupi mbovuView attachment 2496143
Huu hapa ndio utopolo wenu Arsenyani.
Arsenal Total shots 25 On target 5
Man utd Total shots 6 On target 4

Nyie Arsenyani msipende kujifananisha na sisi, ushindi wetu hauhitaji Attempts 30 ndio tupate goli 1 kama nyinyi [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20230126_135736.jpg
 
Hiyo mechi tulikuwa na nafasi ya kuondoka hata na point Emirates na takwimu zilikuwa on point. United akiwa away ana 1.67xG na tulifunga magoli mawili lakini shida kubwa mchezaji muhimu kwenye defense yetu hakuwepo, tungewezaje kuizuia Arsenal kwa dk 90 isipate magoli zaidi ya mawili? Tulishindwa na nimekubali Arsenal walistahili points 3 lakini pamoja na dominance yao walishindwa kumaliza mechi mapema.

Msimu huu Man City tu ndiyo alifanya total dominance dhidi yetu, walitukamata kila mahali ile mechi ya kwanza.
Labda sio Emirates hi
Arsenal (2.93) 3-2 Manchester United (0.33)

#xG #ARSMUN
 
Huu hapa ndio utopolo wenu Arsenyani.
Arsenal Total shots 25 On target 5
Man utd Total shots 6 On target 4

Nyie Arsenyani msipende kujifananisha na sisi, ushindi wetu hauhitaji Attempts 30 ndio tupate goli 1 kama nyinyi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2496222
Hii inaonesha jinsi gani timu yenu Bado ,ndio maana mnategemea individual brilliance za Rashidi

Sio kwamba hampendi kutawala mechi ,ila mnazidiwa na kupelekewa Moto

Sio kwamba Zile hasa dk 20 za mwisho mlipenda kukaa nyuma ,Ni mlilazimishwa

Sio kweli kwamba mliruhusu kwa hiari Arsenal awapigie mashuti 20 ndani ya box lenu na 5 nje ya box ,Mlilazimishwa
 
Hicho unachokitaka wewe nimekwambia sio utamaduni wetu usitulazimishe, kipindi cha kwanza chote sisi ndio tuliotawala, tulikua na uwezo wa kuattempts zaidi ya mara 30 kwenye goli lenu, kwetu sisi attempts zisizo na malengo ya kufunga goli sio utamaduni wetu broo.
Attemps 3 kwa goli 1 hio ndio standard yetu Manchester United.
 
Hicho unachokitaka wewe nimekwambia sio utamaduni wetu usitulazimishe, kipindi cha kwanza chote sisi ndio tuliotawala, tulikua na uwezo wa kuattempts zaidi ya mara 30 kwenye goli lenu, kwetu sisi attempts zisizo na malengo sio utamaduni wetu.
Attemps 3 kwa goli 1 hio ndio standard yetu Manchester United.
Kipindi gani Cha Kwanza mlitawala ? Mechi ipi?

Kipindi Cha Kwanza Arsenal hatukucheza katika Kiwango chetu, Lakini hakuna mlichotawala

Kaangalie vzr statistics , Hata Upelekewaji wa moto mlipelekewa sana

[emoji1787]Kwamba mlikuwa na uwezo wa ku attempt Mara 30

Sasa mngefikaje wakati Hata kwenye box la Arsenal mmefika Mara 12

Unataka kusema mpira wenu Ni wakubana p*mbu ndio mnaupenda
IMG-20230123-WA0020.jpg
 
Huu hapa ndio utopolo wenu Arsenyani.
Arsenal Total shots 25 On target 5
Man utd Total shots 6 On target 4

Nyie Arsenyani msipende kujifananisha na sisi, ushindi wetu hauhitaji Attempts 30 ndio tupate goli 1 kama nyinyi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2496222
Wakati mnapelekewa Moto ,mashabiki wa Arsenal walikuwa wanaimba

Your defence is in trouble!!! [emoji445]

Your defence is in trouble!!! [emoji445]

Your defence is in trouble!!! [emoji445]

Your defence is in trouble!!! [emoji445]

Your defence is in trouble!!! [emoji445]
 
Yani kuwa mshabiki wa Manchester ni kazi sana yani wewe fikiria tu hizi mechi zote kubwa kama.
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Man city

Wote hao wapo ladhi wafungwe na timu nyingine ila sio united kiufupi united ndo timu tusiyopendwa na kila kigogo pale uingereza timu yoyote inaona ni bora ifungwe na timu yoyote pale uingereza ila sio united.

Hivi mkuu@Aaron Arsenal hivi timu kubwa za England tuliwakosea nini mbona hata hapa katika uzi wetu timu imefungwa wa united utakimbiza hatari?
 
Back
Top Bottom