Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 946
Hamna ukali wowote hapo jibu hayo maswali mawiliMbona mnakuwa wakali hivo[emoji1787][emoji1787][emoji3]
1. Wewe unamfahamu sana Antony kuliko ETH na jopo lake?
2. Hela ya kumsajili umeitoa wewe?
Hamna ukali wowote hapo jibu hayo maswali mawiliMbona mnakuwa wakali hivo[emoji1787][emoji1787][emoji3]
Wapuuzi hawa, wanajisahaulisha jinsi alivyowakimbiza kipindi cha kwanza, na pona yao ni pale tu alipotolewa la sivyo walikua wanakula zaidi ya goli 5 kwenye kitanda chao wenyewe.Kwa asiyejua mpira atakua ana maoni kama yako.
Mpira sio kitu rahisi ndugu, zama zimebadilika, antony sio mbaya kama huoni kazi anayoifanya ni bora tu ukae kimya. Labda tuelezane shida ni nini kwa huyu dogo tatizo lipo wapi?
Goli 5 zingetokea wapi wakati kwenye box la arsenal mligusa mpira mara 12...ilionyesha hata kwenye box mlikuwa hamfiki[emoji23]Wapuuzi hawa, wanajisahaulisha jinsi alivyowakimbiza kipindi cha kwanza, na pona yao ni pale tu alipotolewa la sivyo walikua wanakula zaidi ya goli 5 kwenye kitanda chao wenyewe.
Arsenyani mshukuruni sana 10 hag kwa utu na huruma yake ya kuamua kumtoa Anthony ili msidhalilike.
Haiondoi Pale MMEPIGWAHamna ukali wowote hapo jibu hayo maswali mawili
1. Wewe unamfahamu sana Antony kuliko ETH na jopo lake?
2. Hela ya kumsajili umeitoa wewe?
Mimi sikupangii wapi uingie ucomment au upost, ila kinachonishangaza ni wewe daily upo humu kwenye thread ya man u na wewe ni arsenal.Mbona mnakuwa wakali hivo[emoji1787][emoji1787][emoji3]
Goli mngepatia wapi ,wakati Hata hizo 2 Ni makosa ya Arsenal wenyeweWapuuzi hawa, wanajisahaulisha jinsi alivyowakimbiza kipindi cha kwanza, na pona yao ni pale tu alipotolewa la sivyo walikua wanakula zaidi ya goli 5 kwenye kitanda chao wenyewe.
Arsenyani mshukuruni sana 10 hag kwa utu na huruma yake ya kuamua kumtoa Anthony ili msidhalilike.
Acha makasirikio,Kwanza humu sijagi Mara kwa MaraMimi sikupangii wapi uingie ucomment au upost, ila kinachonishangaza ni wewe daily upo humu kwenye thread ya man u na wewe ni arsenal.
Binafsi huwezi kunikuta hata siku moja kwenye thread ya timu nyingine may be arsenal or liverpool nikacomment chochote maana kwa mimi naona huo ni umbea na ujinga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ila kwakuwa man u ni chama kubwa linakukosesha amani unaona utawashwa bila kuja humu kuchungulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule Anthony MMEPIGWA au HAMJAPIGWA?[emoji1787][emoji1787]Wapuuzi hawa, wanajisahaulisha jinsi alivyowakimbiza kipindi cha kwanza, na pona yao ni pale tu alipotolewa la sivyo walikua wanakula zaidi ya goli 5 kwenye kitanda chao wenyewe.
Arsenyani mshukuruni sana 10 hag kwa utu na huruma yake ya kuamua kumtoa Anthony ili msidhalilike.
Hata hizo goli 2 Kuna watu wanajiuliza walizipatajeGoli 5 zingetokea wapi wakati kwenye box la arsenal mligusa mpira mara 12...ilionyesha hata kwenye box mlikuwa hamfiki[emoji23]
Soma vizuri nilichoandika no hard feelings, nimesema neno binafsi.Acha makasirikio,Kwanza humu sijagi Mara kwa Mara
Kama wewe hauji kule Basi wenzio wanakuja na kutupigia kelele Hadi kutuma matokeo ya man u kwenye jukwaa la Arsenal
Kwahiyo kaa kwa kutulia, Kama unaumia ,vumilia tu
Hawa jamaa roho hua inawauma sana kuona mapato na matumizi yetu ni makubwa mara 5 zaidi kuliko wao.Hamna ukali wowote hapo jibu hayo maswali mawili
1. Wewe unamfahamu sana Antony kuliko ETH na jopo lake?
2. Hela ya kumsajili umeitoa wewe?
Kaa kwa kutulia , Kama wenzako wanakuja Basi huwez kutuzuia sisi kuja humuSoma vizuri nilichoandika no hard feelings, nimesema neno binafsi.
means wewe na hao wote wanaokuja huko ndo wale wale tu. Eti hujagi mara kwa mara sasa hapa muda huu sijui upo wapi? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hongera kwa kuchukua ubingwa wa kumfunga man uKaa kwa kutulia , Kama wenzako wanakuja Basi huwez kutuzuia sisi kuja humu
Na kabla ya mechi waliongea watakavyo. After mechi wamepotea ,so huna mamlaka ya kutuzuia kuja humu
Sasa kama tumeweza kuingia kwenye box mara 4 na tukapata goli 2 nyinyi mliongia kwenye box mara 65 mkaishia kupata goli 3 hamjioni kua ni mazwazwa?Goli mngepatia wapi ,wakati Hata hizo 2 Ni makosa ya Arsenal wenyewe
Kwenye box la Arsenal Mara 12 tu ndan ya dakika 90 ndio mliingia
Akiwepo Anthony mliingia Mara 4 tu
3 points tuliongezaSasa kama tumeza kuingia kwenye box mara 4 na tukapata goli 2 nyinyi mliongia kwenye box mara 65 mkaishia kupata goli 3 hamjioni kua ni mazwazwa?
Man Utd hatuhitaji kuingia kwenye box mara nyingi ili tupate goli, kama wewe unajihesabia kuingia kwenye box mara nyingi ndio ushindi basi utakua umefeli.
Hivi timu mbovu ni ipi, ambayo imefika mara chache kwenye box la mpinzani na kufunga magoli mawili au iliyofika mara nyingi na kufunga magoli matatu, moja likiwa la offside? 😂Goli 5 zingetokea wapi wakati kwenye box la arsenal mligusa mpira mara 12...ilionyesha hata kwenye box mlikuwa hamfiki[emoji23]
Hata sisi 3 points tulizichukua na tulikuwa few minutes away kuchukua points 4 kutoka kwa Arsenal bora (mnavyosema wenyewe).3 points tuliongeza
Angalia takwimu utajua yupi mbovuHivi timu mbovu ni ipi, ambayo imefika mara chache kwenye box la mpinzani na kufunga magoli mawili au iliyofika mara nyingi na kufunga magoli matatu, moja likiwa la offside? [emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Hata sisi 3 points tulizichukua na tulikuwa few minutes away kuchukua points 4 kutoka kwa Arsenal bora (mnavyosema wenyewe).
Halafu kinacho nishangaza zaidi ni jinsi walivyo na furaha kupindukia yani ni kama Mechi ya kwanza walitufunga.Hata sisi 3 points tulizichukua na tulikuwa few minutes away kuchukua points 4 kutoka kwa Arsenal bora (mnavyosema wenyewe).