Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani kuwa mshabiki wa Manchester ni kazi sana yani wewe fikiria tu hizi mechi zote kubwa kama.
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Man city

Wote hao wapo ladhi wafungwe na timu nyingine ila sio united kiufupi united ndo timu tusiyopendwa na kila kigogo pale uingereza timu yoyote inaona ni bora ifungwe na timu yoyote pale uingereza ila sio united.

Hivi mkuu@Aaron Arsenal hivi timu kubwa za England tuliwakosea nini mbona hata hapa katika uzi wetu timu imefungwa wa united utakimbiza hatari?
dah [emoji1787][emoji1787] man u hampendwi mnaongea Sana
 
dah [emoji1787][emoji1787] man u hampendwi mnaongea Sana
Sasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.

Kuna timu kama hazipo serious kabisa kweli uefa nayo ni kitu ya kukosa kweli.
Screenshot_20221006-143500.jpg
 
Yani kuwa mshabiki wa Manchester ni kazi sana yani wewe fikiria tu hizi mechi zote kubwa kama.
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Man city

Wote hao wapo ladhi wafungwe na timu nyingine ila sio united kiufupi united ndo timu tusiyopendwa na kila kigogo pale uingereza timu yoyote inaona ni bora ifungwe na timu yoyote pale uingereza ila sio united.

Hivi mkuu@Aaron Arsenal hivi timu kubwa za England tuliwakosea nini mbona hata hapa katika uzi wetu timu imefungwa wa united utakimbiza hatari?
Sababu kubwa ya chuki na wivu Ni Mafanikio ya mda mrefu nje na ndani ya uwanja, !

Hii ishu inawatesa sana ,,,,

Timu gani pale England yenye mafanikio ya maana zaidi ya utd na Liverpool ?

Wengine tia maji , ndo maana hasira haziishi !

Chelsea imechukua uefa juzi Kati hapa , arsenal ndo kabisa hajawahi na hajui atachua lini ,,,, tuje kwenye makombe ya ndani ndo balaa kabisa !

Kina Villa na Nottingham washachukua uefa ila arsenal bado ! Wana hasira Sana !
 
Chagueni kbsa msiotupenda tubebe CARABAO, UEROPA, EPL, FA sisi MAN U hatushindwi jambo ndyo tumeanza sasa ligi
GGMU FOREVER [emoji91][emoji91]
 
Wazee tujadili potential zinazofaa kuja united, tuache kubishana na arsenal

TIERY HENRY "namuamini arteta, naipenda arsenal pia lkn tumeona project ya miaka mitatu ya arteta dhidi ya project yeny miezi sita ya ETH, pia man u kapumzika Siku 3 dhidi ya timu imepumzika wiki moja kabla ya game, kwahili namuunga mkono na kuwa shabiki wa ETH anafany maajabu na naamini ndani ya miaka miwili atakuwa na timu top hapa england na ulaya"
 
Henry hajaongea haya maneno wamemlisha tu
 
Bro aliongea fatilia sky
Nilishafatilia vzr hakuna Kitu Kama hicho Ni mashabiki wa man u ndio wanajifariji, hakuna video ,Kama ipo iweke hapa link

ManchesterEvening Ni sawa na The Sun ,tena nadhani Ni wamoja ,wameibeba hiyo habari wakisingiziwa CBS Amazon ndio chanzo .
 
Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
[emoji1787][emoji1787] Nyie jamaa mna mdomo Sana, Sasa man u hii project mnayosema ina miezi 6 ,ndio hii ya kusubiria individual brilliance za Rashford ?
Ukweli unaochoma manyua hakuna project Bali pana project uchwara ..miaka miwili unayotutishia huyo Casemiro ,varane ,Eriksen ,degea watakuwa hata kukimbizana hawawezi mtarudi kule kule
Hiyo miaka miwili Project ya Arsenal ndio Kwanza itakuwa na average ya miaka 26 .
 
Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
Project unajenga na wazee miaka 30 unasema miaka 2 tutaomba poo[emoji1787][emoji1787] tumieni akili Basi mtajikuta mnaanza kulia Tena hatuna mkabaji hatuna Beki hatuna CM hapo Casemiro varane Eriksen wanakimbizwa hoi ,tumeona Eriksen jumapili ulimi nje[emoji1787]
 
Sasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.

Kuna timu kama hazipo serious kabisa kweli uefa nayo ni kitu ya kukosa kweli.View attachment 2496330
vip, kuna mwenye nalo,, this is our honour,, no one will get this

Sisi tutayapat hayo,, ila nyinyi wot hakuna atakae kuj kuchukua..
images.jpg
 
Back
Top Bottom