ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Our main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
1. Uwezo ( Timu imeimarika na inastahili)
2. Nia (Kuirejesha heshima ya club iliyopotea)
3. Sababu (Kuchukua ubingwa msimu huu)



