Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bro aliongea fatilia sky
Nilishafatilia vzr hakuna Kitu Kama hicho Ni mashabiki wa man u ndio wanajifariji, hakuna video ,Kama ipo iweke hapa link

ManchesterEvening Ni sawa na The Sun ,tena nadhani Ni wamoja ,wameibeba hiyo habari wakisingiziwa CBS Amazon ndio chanzo .
 
Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
Nyie jamaa mna mdomo Sana, Sasa man u hii project mnayosema ina miezi 6 ,ndio hii ya kusubiria individual brilliance za Rashford ?
Ukweli unaochoma manyua hakuna project Bali pana project uchwara ..miaka miwili unayotutishia huyo Casemiro ,varane ,Eriksen ,degea watakuwa hata kukimbizana hawawezi mtarudi kule kule
Hiyo miaka miwili Project ya Arsenal ndio Kwanza itakuwa na average ya miaka 26 .
 
Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
Project unajenga na wazee miaka 30 unasema miaka 2 tutaomba poo tumieni akili Basi mtajikuta mnaanza kulia Tena hatuna mkabaji hatuna Beki hatuna CM hapo Casemiro varane Eriksen wanakimbizwa hoi ,tumeona Eriksen jumapili ulimi nje
 
Sasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.

Kuna timu kama hazipo serious kabisa kweli uefa nayo ni kitu ya kukosa kweli.View attachment 2496330
vip, kuna mwenye nalo,, this is our honour,, no one will get this

Sisi tutayapat hayo,, ila nyinyi wot hakuna atakae kuj kuchukua..
images.jpg
 
Project unajenga na wazee miaka 30 unasema miaka 2 tutaomba poo tumieni akili Basi mtajikuta mnaanza kulia Tena hatuna mkabaji hatuna Beki hatuna CM hapo Casemiro varane Eriksen wanakimbizwa hoi ,tumeona Eriksen jumapili ulimi nje
Hao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.
 
Hao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.
Sasa kama sio project ,msidanganye watu mna project yenye miezi 6, sema mwakan ndo mnaanza project
Mtasajili vizuri kocha wako huyu kasajili Mpaka rangi Anthony £100m na wazee wawili
Manyua hakuna project ila Kuna project uchwara
 
Hao unaowataja sio project we jamaa ni vile tunasogeza siku msimu ujao tunasajiri vizuri kabisa hao ni wa muda mfupi tu.
Mtasajili vizuri kocha huyu analeta kujuana kwa kuleta waholanzi
Kama mmeshindwa kusajili vzr Hadi mnaleta ball dancer kwa £100m yule malacia average ,Eriksen akikimbizwa kidogo anatapika

Mtoe Rashford au aumie ,manyua inaenda alipo Chelsea na Liverpool
 
Tutarudi tukifikisha misimu miwili kwa sasa sina ninalomdai ndugu 10han kabisa tuko sawaa.
 
Soma hizo stats angalia na matokeo halafu utasema nani mropokaji.

1.67xG tulifunga magoli mangapi? Tena hapohapo Emirates tukiwa hatuna DM wetu. Tulikuwa tushawaweka sehemu mbaya hata kwa droo tu, City alikuwa anawapumulia na nyie nina 100% mtatoka 1st position kama siyo siku za karibuni, April lazima muachie.
Mmehamia April tena
 
Hii taarifa inaisaidiaje Arsenal kushinda mechi inayofuata?

Wewe hujui kitu kushinda EtH aliyemsajili. Antony bado hajafikia full potential, halafu United tunaunda kikosi (bora barani Ulaya) tunataka timu yetu iwe na qualities sawa kwa kikosi cha kwanza mpaka bench. Nyie endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu.

Hata Arsenal kuna wachezaji last season walionekana wa kawaida sana ila msimu huu wanakiwasha. Kinachowasumbua ni value tu ya Antony ambayo haina uhusiano na uwezo wake. Ajax walitaka ile pesa kutokana na vitu vingi na sisi tukakubali, shida iko wapi tuki-spend €100m au kisa timu yenu haiwezi?
Hata mlivyomsajili Ighalo mlisema hatujui kitu kushinda Ole aliyemsajili.

Na alivyokuja Ronaldo tukaambiwa hivi hivi.

Na Pellistri pia.

Na Pogba.

Halafu Arsenal ishavuka stage ya kuhofia kupoteza mechi
 
Hivi timu mbovu ni ipi, ambayo imefika mara chache kwenye box la mpinzani na kufunga magoli mawili au iliyofika mara nyingi na kufunga magoli matatu, moja likiwa la offside?
Mzee au mechi ulisikiliza kwenye redio...kama arsenal wangekuwa makini ilipaswa game iishe 3-0 maana arsenal walitawala Sana hyo game ikiwemo kuwafanyia msako golini kwenu mara kibao magoli mlioyafunga NI errors ..moja turnover ya partey..nyingine makosa ya kiulinzi kwenye Kona....huwezi ukaja ukajisifu Kwa Ile performance hamkuwa wabovu
 
Kuna mashabiki wa mpira inatakiwa washabikie ndondo tuu,, hebu tuelezee goli moja unalolifahamu ambalo halijatokana na makosa ya aliyefungwa!?!?
 
Kuna mashabiki wa mpira inatakiwa washabikie ndondo tuu,, hebu tuelezee goli moja unalolifahamu ambalo halijatokana na makosa ya aliyefungwa!?!?
Kuna moves za magoli au magoli mengine unaona kabisa the player could have done better to prevent the goal...Ila kuna mengine unafungwa we mwenyewe unakubali kabisa tulizidiwa....partey alipoteza kizembe ule mpira Rashid akaupata akafunga tokea mbali na alikuwa angeweza kufanya option nzuri zaidi...goli la pili kipa angefanya vzuri pia hcho Ndo nikichotaka kumaanisha au wewe ulifurahia Ile performance Kwa mpira WA kuvizia huku mbele mnamuweka Yule ngongoti wenu .....basi bwana mkuu case closed mlikuwa na performance nzuri
 
Ndio maana unaambiwa mpira Ni mchezo wa makosa, ukikosea mwenzako anakufunga !

Kila goli linalofungwa Kuna mtu alikosea somewhere na mpinzani akapata advantage !
 
Back
Top Bottom