Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,217
- 44,185
Kapoteza ushawishi wa nani exactly? Sijawahi sikia mchezaji anamlalamikia Maguire tofauti na Walioondoka Kina Pogba na Ronaldo, na ETH harembi ingekuwa ana matatizo asingeendelea kuwa Captain.Kuna aina ya wachezaji hawafai kuwa backup hasa hasa mtu kama Maguire in-longrun anaweza kuleta shida ktk dressing room. Spurs inaweza kuwa timu sahihi sana kwake endapo pande zote mbili zitaelewana. Namuona akifanikiwa sana kiuchezaji wake endapo atajiunga nao.
Tayari alishapewa mamlaka makubwa sana ndani ya kikosi tokea 2020 mpaka 2022 chini ya Ole halafu ghafla anapoteza ushawishi ndani ya muda mfupi kuanzia dressing room mpaka uwanjani. Sio mtu sahihi kuendelea kuwepo kikosini kuanzia msimu ujao.
Pamoja na kuwekwa benchi,kucheza Vizuri timu ya Taifa etc jamaa wa watu yupo kimya, as long as halalamiki na Role yake ya sasa why umuondoe, Profile ya Maguire ni tofauti kabisa na Licha, Varane na Lindelof, Anacho offer Maguire hao wengine hawana, Unaweza uka make Point Lindelof hana cha Ku offer vs Varane atleast.