Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,631
- 11,106
Hivi timu mbovu ni ipi, ambayo imefika mara chache kwenye box la mpinzani na kufunga magoli mawili au iliyofika mara nyingi na kufunga magoli matatu, moja likiwa la offside? 😂Goli 5 zingetokea wapi wakati kwenye box la arsenal mligusa mpira mara 12...ilionyesha hata kwenye box mlikuwa hamfiki![]()







