raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,799
- 36,689
Weweeeee chama kubwa hili šKijana unashabikia manyumbu umepotea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weweeeee chama kubwa hili šKijana unashabikia manyumbu umepotea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Antony anakwenda kuwa Sancho mwengine kama akiendelea hivi hivi.Mechi jana japo Man U alcheza soka bovu ila alitengeneza nafasi nyingi utulivu ulikosekana tu mbele ya lango..
Haha huyo huyo wa spin š¤£Anthony yupi tena? Elanga au yule wa 360 spin? [emoji23]
Aisee bora sancho kuliko huyu jamaaAntony anakwenda kuwa Sancho mwengine kama akiendelea hivi hivi.Mechi jana japo Man U alcheza soka bovu ila alitengeneza nafasi nyingi utulivu ulikosekana tu mbele ya lango..
Hana maaamuzi sahihi akiamua kupiga hata chenga za hatari na pressing nzuri hana wakati timu inashambulia na mabeki wangekuwa wakimkaba kirahisi sana anazidiwa mpaka na Antonia Valencia enzi zake japo alikuwa na chenga Moja na kutegemea mbio ila impact yake ilikuwa kubwa..Pale tumepigwa.
Mimi naamini akitulia Antony atakuwa bora sana japo ni mchezaji mwenye bahati kupata nafasi mara kwa mara kwenye kikosi wakati wapo wengi wanaposajiliwa wanasugua benchi na wakizingua kidogo nafasi zao zinakuwa hatarini ila yeye amepata bahati sana ..Aisee bora sancho kuliko huyu jamaa
Anacheza kama mpira wa mitaani hayupo makini kabsMimi naamini akitulia Antony atakuwa bora sana japo ni mchezaji mwenye bahati kupata nafasi mara kwa mara kwenye kikosi wakati wapo wengi wanaposajiliwa wanasugua benchi na wakizingua kidogo nafasi zao zinakuwa hatarini ila yeye amepata bahati sana ..
Ila speed hana.Weghorst mmemuonaje wakuu ?? Jamaa kiasi chake anajua kujiposition
Yupo Kama Peter clouch pia controll sebule Sina uhakika Kama ataweza kushine pale eplIla speed hana.
Aise mbona anasifiwa kwa pressing...Ila speed hana.
Sasa mchezaji hadi katolewa kwa mkopo na burnley unadhan kuna nini hapoYupo Kama Peter clouch pia controll sebule Sina uhakika Kama ataweza kushine pale epl
Japo asernal ni mchumba so atazioata kirahisi. Tushukuru morale ya wachezaji.Mechi ya jana ni kama man u walikuwa wanatafuta draw sabb ya mechi ya j2
Hizi approach mda mwingine sizielewagi
Maana unaweza suluhu na cry na j2 ukapigwa vile vile ukawa umeambulia pt 1 kwenye mechi 2
Si afadhali ukomae na cry upate pt 3
Nyoosha maelezo vzr, sema Pale TUMEPIGWAIla speed hana.