Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 611
- 984
Braza, mbon hajalitaja chama letu hata kidogo, mim sijawahi kusikia team inayo itwa arsenyani,, au wewe unaijua hi team ya braza FlanoKwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal ndugu
Braza, mbon hajalitaja chama letu hata kidogo, mim sijawahi kusikia team inayo itwa arsenyani,, au wewe unaijua hi team ya braza FlanoKwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal ndugu
Mpaka unawaona hawa jamaa wanajilinganisha na sisi ujue wanatamani kufika tulipo lakini hawawezi. Ni jambo linalowauma sana.Kwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal ndugu
This is too good to be true!!Man United are ready to cash in on both Harry Maguire and Scott McTominay, but not until the summer.
#AlexCrook
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2494143
Let's cash in fasta fasta..Man United are ready to cash in on both Harry Maguire and Scott McTominay, but not until the summer.
#AlexCrook
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2494143
Nategemea a very comfortable win here na kuingia fainali.
inatakiwa 3 kipindi cha kwanza tunamaliza na 2 kipindi cha Pili, nategemea Alejandro ataacha uchoyo usio na maana.Nategemea a very comfortable win here na kuingia fainali.
Hii timu yetu katika mechi unategemea washinde ndo wanaku disappoint uez kuamininatakiwa 3 kipindi cha kwanza tunamaliza na 2 kipindi cha Pili, nategemea Alejandro ataacha uchoyo usio na maana.
Kaka mkubwa tupumzishe tena...Mchezaji ambae Burnley wameona bora wamteme
Michezo 20 goals 2 za nchecheme ncheheme
Ndio haaland ni mref, huyu ni nguzo ya umeme
#justfootball


Did you know that Phil Jones signed for Manchester United on 1st July 2011. He has survived Ferguson, Moyes, Louis Van Gaal, Giggs, Mourinho, Ole, Carrick, Ralf, and Ten Hag. He still survives to this day without playing and every transfer season he is injured. He's never sold or released and Man Utd will renew his contract when the current one runs out. He earns £4.5 million per year from Manchester United for doing nothing.#justfootball
GGMU FOREVER[emoji91
Arsenal kwa kingreza kwa kiswaili asenyani wewe acha ufala 😂😂😂😂Braza, mbon hajalitaja chama letu hata kidogo, mim sijawahi kusikia team inayo itwa arsenyani,, au wewe unaijua hi team ya braza Flano
Hii game mutapigwa
Wote hao uliowataja waondolewe mapema sana.Tulijitahidi sana sema tuna makosa madogo madogo hasa tunapofanya sub.
Mosi viungo wetu tukianza na Eriksen umri umeanza kumkamata yupo slow sana na mara nyingi anapokonywa mipira kirahisi.
Game ya kwanza Arsenal walifunga goal likakataliwa,ni huyu huyu Eriksen alipokonywa mpira kijinga.
McTommy ana miaka 26 sasa,ni wakati mzuri wa kumuuza mapema fedha yake atafutwe kiungo mzuri.
Shaka alimpeleka sana Shaw,sijui kwanini Kocha akutafuta solution mapema !.
Bado nina imani na kocha katutoa mbali sana na tukitilia maanani ana muda mfupi sana EPL.Nina hakika kadri siku zinavyosonga kuna mambo mengi atayafanyia kazi ikiwemo mshumbuliaji wa kati na kuongeza viungo mahiri na vijana.
Wakati umefika wachezaji wafuatao waondoke mara moja.
1. Harry Maguire
2. Phil Jones
3. Anthony Martial
4. Anthony Elanga
5. Donny Van de Beek
ndo wachawi tenaMpaka unawaona hawa jamaa wanajilinganisha na sisi ujue wanatamani kufika tulipo lakini hawawezi. Ni jambo linalowauma sana.
Ikitokea Arsenal wakachukua EPL, hakuna mashabiki watakaoumia km wa timu hii.