Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Kama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.2021 mda kama huu tulikuwa tunamfukuzia Liverpool na tukampata tukawa Juu Epl Table. Hata 2020 pia tulivyoanza kuifukuzia Top 4 hatukupunguza speed mpaka tukawa watatu.
Same kwa sasa timu ina Fight spirit nzuri tu, Timu yetu inacheza sasa hivi bila Dalot, Martinez, Shaw (Natural position) na Sancho lakini unaona kabisa timu ipo vizuri.
Na pia mtofautishe kugombania ubingwa na Kuchukua Ubingwa ni vitu viwili tofauti.
Points 3 kwa Arsenal inawezekana kabisa ila City nina mashaka sana. Tusubiri tu tuone.