Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,217
- 44,183
Bayern ni option, wapi kwengine wana uhitaji wa striker? Madrid wana Benzema, Barca wana Lewandoski, Juve Vlahovic etcSasa mkuu kane atakubali kweli kuja kwetu!,, maana hawa wachezaji ambao bado wapo kwenye fomu nzuri. Na wana uhaba wa vikombe maranyingi huwa wana option za kwenda vilabu wavitakavyo.
Vyenye uwezo wa kubeba kombe la ligi,uefa e.tc ili kutengeneza rekodi zao vizuri katika maisha yao ya soka, nasio mda wote wanatanguliza sana pesa mbele. Unazungumziaje kuhusu hili chief.