Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi ndo maana nimesema siwezi kumlaumu kocha wala mchezeaji

Maana msimu huu kigogo mwenye ajachapika kwetu ni Chelsea tu wote hao tumewalamba.

Kwangu naona ten hag anaonyesha mwanga maana ndo msimu wake wa kwanza tu ila timu ipo vizuri tu.
Kabisa Jombaa. Tuwe na shukrani, Ten Hag kafanya kazi kubwa mno mpaka sasa. Miezi 6 iliyopita hakuna hata mtu mmoja aliyebashiri United tunaweza kushindania kumaliza nafasi nne za juu. Plus chance of winning something (Carabao).
 
Tujipange kwa mechi zijazo. Kuteleza sio kuanguka. Naamini kocha atajipanga vizuri na kurekebisha makosa yake.

Win or loose...We are United!!
GGMU
Pia tukumbuke mzunguko wa kwanza tuliwapiga, tupunguze makasiriko yasiyo na maana na wao walitaka kushinda.
hivyo basi tuwe na shukrani hata kwa kile tulichokipata mwanzo[emoji120].

#TrustTheProcessETH[emoji408]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Wakati Rashford anafunga bao yani hata hajamaliza kushangilia huku Baleke naye anaipatia bao la kuongoza Simba

Mechi hizi zikiisha zikiwa zimepata ushinda, siku yangu itamalizika vizuri sana leo
Ikawaje tena
 
Back
Top Bottom