Hivi ten hag c amtoe huyo Shaw, amekua uchocholo Sana wa arsenal, anamwacha saka anadribble atakavyo mpaka kwenye box.
Mimi siupendi japo wataalamu wanasema ni mzuri ,nakumbuka Gary Neville na O'shea enzi zao za ugalasa walikuwa wakiadhibiwa na mawinga wakali kutokana na ukabaji huo..Luke shaw anazingua sana ukabaji wake yaani anamsogeza adui golini
Kiburi chake kimetuponza.Huyo ten hag nae mseng mseng sn