Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Sio mbaya japo nimeumia sana, ila ukabaji wa shaw asee siukubali kabisa. Plan haijafanya kazi
Kumtoa Anthony na Eriksen ilitakuwa kuwa kitu cha kwanza kabisa.I agree, Ndo angemtoa yeye sasa kwa nini akamtoa Antony?
Ilikuwa hivyo kwa Sir Alex huyu ten haag hamna kitu, polen kwa kupoteza mchezo wa leoHii game angekuwepo casemiro tungeongea mengine hapa...
Arsenal.. mnapiga kelele sanaa ila trust me hii ndo gemu yenu ya mwisho kushinda kwa ETH...
nyie ni vibonde wetu na mtaendelea kua hivyo
😂ndo dalili za ubingwa hizoVar imewabeba
Acha bhangi, uliangalia mechi ya kwanza pale old Trafford alivyobanwa na malacia.Saka hakabiki kirahisi kwa beki1 ni exeptinal player mtashikan mashati bure
Tulitaka kuweka heshima sawaThey deserve the win
ukweli usemwe hata kama unauma
Dk 30 za Kwanza Shaw alifanya kaz nzur Sana , badae akalambwa njano ikampunguzia speed mana Style ya uchezaji wa Saka kukulambisha umeme ni kugusa tuu... Ila Saka hatakiwi kumruhusu aingie ndani ya box , ni constant threatSio mbaya japo nimeumia sana, ila ukabaji wa shaw asee siukubali kabisa. Plan haijafanya kazi
Kwa sasa napokea matokeo yeyote kwa kisingizio Tupo kwenye mchakato wa kujenga timu ila ujengaji huo uendane na maamuzi sahihi.tuseme ukweli....timu umecheza vizuri sana spirit ilikuwa juu sana kwenye mechi ya leo... Makosa yapo eno sehemu ya mchezo ila timu imepambana
trust the process...Ilikuwa hivyo kwa Sir Alex huyu ten haag hamna kitu, polen kwa kupoteza mchezo wa leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] heshima yako mkuuZikeni tu hapo hapo
Shukran NduguSina chakulaumu wachezaji wala kocha nachojua hatuwezi shinda kila game.
Ongera mtani wetu Aaron Arsenal
kuna mwamba aliuliza kwamba scott ana 26 yrs now anaelekea wap kisoka....Kwa sasa napokea matokeo yeyote kwa kisingizio Tupo kwenye mchakato wa kujenga timu ila ujengaji huo uendane na maamuzi sahihi.
Kwa mfano
Nimeona tetesi nyingi sana zinazomuhusu maguire na scott mctominay kutakiwa na vilabu tofauti hapo england.
Now klabu haijaonyesha nia ya kukubaliana na ofa hizo, kwa kuwa tupo kwenye dirisha dogo nasimama na uamuzi wa klabu
But ikitokezea msimu ujao vikajitojeza vilabu vinavyohitaji huduma ya scott au maguire tukaweka tena ngumu.
Kwa mara ya kwanza nitapingana na erik.
Sifurahi pindi ninapomuona scott ndani ya uwanja hata kwa sekunde.
Tunahitaji qualities na energy.
Scott anakupa kimoja tu.
Fred anakupa kimoja.
Thomas partey anakupa vyote
Hongereni Kwa ushindiMan u leo ushindi arsenal asumbui Kabisa
Nialikeni kwenye sherehe zenu za ubingwa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] heshima yako mkuu
Nakubali🤣🤣Huyu hatakiwi hata kuanza anatakiwa aingie zikiwa zimebaki dk 10
Msimu huu ARSENAL NDOONialikeni kwenye sherehe zenu za ubingwa.
Haya matokeo yamemvuruga sana kipara yule jirani kuliko huyu kipara wetu