D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,645
- 121,055
Zikeni tu hapo hapoTunazika Emirates au tunasafrisha Old Trafford?chagueni
Zikeni tu hapo hapoTunazika Emirates au tunasafrisha Old Trafford?chagueni
Tunajipanga tunakuja soonDaaah hawa wajinga tumewapa nafasi ya kupiga mikelele
Msenge snHuyo ten hag nae mseng mseng sn
Manchester haina forward mwenye akili , rashford ni kono konoTumeadhibiwa kwa sababu ya qualities.
Tulia tunakojoa kojo wakati dem yupo exited state wameloaaaaaaaaDaaah hawa wajinga tumewapa nafasi ya kupiga mikelele
Bado ana fikra za kitoto zenye kuambatana na ushamba.Kubalini tu.Antony mmepgwa waungwana.
Weghorst ni mchezaji wa dakika 45 mpaka 60 tu kama akianza. Zaidi ya hapo hana msaada wowoteTangu dk 75-80 ulazima wa sub ulionekana kabisa ila kocha akaleta kiburi cha kiboya, kule mbele weghorst alikuwa anafanya nini? Garnacho ilishindikana nini kuingizwa ili asaidie kukokota mpira huko nyuma kuupeleka mbele ili halo Antony katoka??
Sema United wanatakiwa watafute mbadala wa Eriksen ili Bruno arudi kwenye nafasi yake.Kwangu mimi kufungwa na ARSENAL ni zaidi ya fedheha.
Hongereni GUNNERS kwa ushindi.
Mrudi tena kutuletea kelele zenu timu huna kelele kibaaaao unategemea mpira wa bahati na sibu kama biko[emoji120][emoji120]Acha arsenal washinde tu kocha Ni fala sana
Yaan ten hag Kanikera sana na hilo bichwa lake Kama fuvu la dagaa.Kipara ndezi ana kiburi kama haoni
I agree, Ndo angemtoa yeye sasa kwa nini akamtoa Antony?Sema United wanatakiwa watafute mbadala wa Eriksen ili Bruno arudi kwenye nafasi yake.
Bila kiungo mkabaji mzuri kama Casemiro Eriksen hufanya makosa ya kusababisha magoli every game, goli la Saka, na goli hili la tatu.
Eriksen anafaa kucheza timu ambayo possession ni kubwa na timu imedicatate mchezo.
Niliangalia mechi ya Mancity alipotoka Bruno akarudi katikati tulifanya counter attack nyingi sana.
Leo pia Bruno kwenda pembeni kunatupunguzia kabisa Counter attack Threat.
Huyu hatakiwi hata kuanza anatakiwa aingie zikiwa zimebaki dk 10Weghorst ni mchezaji wa dakika 45 mpaka 60 tu kama akianza. Zaidi ya hapo hana msaada wowote
Saka hakabiki kirahisi kwa beki1 ni exeptinal player mtashikan mashati bureHivi ten hag c amtoe huyo Shaw, amekua uchocholo Sana wa arsenal, anamwacha saka anadribble atakavyo mpaka kwenye box.