raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,793
- 36,683
Game ya cry ni kama waliipuzia walitakiwa washinde wabebe pts 3
Labda wa kiduku.Arsenal bingwa.
Huyu jamaa tulipigea hajui chochoteWegost bora kocha angejaza viungo wacheze bila mshambuliaji mbele
Tangu dk 75-80 ulazima wa sub ulionekana kabisa ila kocha akaleta kiburi cha kiboya, kule mbele weghorst alikuwa anafanya nini? Garnacho ilishindikana nini kuingizwa ili asaidie kukokota mpira huko nyuma kuupeleka mbele ili halo Antony katoka??Kocha kachelewa kufanya sub
Jamaa hata kupossess mpira ni shida duhHuyu jamaa tulipigea hajui chochote