Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu amkeni
1200px-Blue_Wildebeest%2C_Ngorongoro.jpg
 
Niliishasemaga hapa .. kocha wa man UTD imefikia apewe Roy Keane.
Mkanjsema sana hapa..

Wachezaji wa kupigwa fimbo wamejaa

Rashford ni K, greenwood sio wankuanza, magwaya ni KM
 
Ni ipi haswa kazi ya moderator ndani ya hii forums?

kwa sababu ninayoendelea kuyaona ndani ya thread hii na nyenginezo (chelsea thread na arsenal thread ndio lengwa zaidi) hayaendani na dhumuni la kuanzishwa kwake kwa thread hizo.

kumekuwepo na mizaha inayopitiliza inayoambatana na lugha chafu pindi timu A inapopoteza points ndani ya uwanja, ubaya zaidi unaweza kuambatanishwa mzaha au kejeli ukawawajumuisha watu wote ndani ya thread.
jambo hili si sahihi hata kidogo kuliendekeza hususani kwa watu waliojaaliwa ukamilifu wa maarifa na malezi bora ya kimjadala.

huwezi kukutana na changamoto mfano wa hizi tunazozishuhudia humu ndani na kwengineko kupitia majukwaa mengineyo ya wenzetu (subreddit za vilabu mbali mbali pale reddit, redcafe, n.k)

Tujisahihisheni kwa pamoja.
 
" You either press or u don't, there is no such thing like a little bit of pressing. It's like being pregnant, you are either pregnant or not," RR

Vilevile mkiamua ku press, mnatakiwa kufanya ivo as a unit(kila mchezaji anatakiwa ku press). Ikitokea baadhi hawapress, mkishambuliwa mtakuwa outnumbered na pia wachezaji baadhi watakuwa out of position.
Tukubali tu kwamba wachezaji baadhi kama Ronaldo na Trashford hawawezi ku press. Kocha anapata shida kuwa accomodate kwenye philosophy yake.

Imagine mtu kama Trashford, attacking output na defensive output zote ni za hovyo, kwanini asim drop. Cavani na uzee ule lkn ana bado anapress,,, lkn huyu dogo anajikuta star wa team
Cavani sema tu ni match 2 garage otherwise akistay fit huyu chalii ni kupeleka kwa mkopo hata ipswich town huko, trash kabisa
 
Back
Top Bottom