John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Professor RRHivi ni nani anamuweka Wan-Bissaka Benchi?
Professor RRHivi ni nani anamuweka Wan-Bissaka Benchi?
Tumepigwa pakubwa imagine tumetoa 80m poundsMimi nasema huyu Maguire Mtu anageuka mbele yake
Ndoto za kichawi.Leo naona Newcastle wakifufukia kwetu
Hapo Msumbiji kuna timu inaitwa Sosopia SC umejaribu kuishabikia?
Huyu ni wa kupigwa benchi tu, na dirisha dogo atolewe kwa mkopo aende akacheze hata ligi daraja la pili huko ngese kabisa hii uchochoro.Mimi nasema huyu Maguire Mtu anageuka mbele yake
Kosa la Varane Maguire kafanya niniMimi nasema huyu Maguire Mtu anageuka mbele yake
Acha wengeKwa jinsi tunavocheza hii game hatushindi
Anazingua kinoma. anacheza kama hana akili vileeIla rashford hana akili ya mpira kabisa
Hauja ongea bado.Hapo Msumbiji kuna timu inaitwa Sosopia SC umejaribu kuishabikia?
Unahisi nafanya mipasho? Mi nipo serious