Kosa la Varane Maguire kafanya nini
Nashabikia Ferroviario de Pemba.Unahisi nafanya mipasho? Mi nipo serious
Mkishinda viporo vyenu vyote mnaitoa Arsenal pale kwenye namba nne
HahahaHuyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
Sielewi kwa nn akipewa mpira lazima ausimamishe kwanza,yaani Kama akili imelala ameshtuka yupo na mpiraIla rashford hana akili ya mpira kabisa




aiseee
Huyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
varane is back to kill usVARANE is back.
Sasa atatoa wapi wachezaji au anatakiwa asajili timu nzima???Kitqkqchomponza huyu kocha ni kuendekeza wachezaji wale wale wa sosha kina tominay fred raahford nk kina van de beek wamekaa njee kina sancho