Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Newcastle against BIG Clubs

Man City 4:0 Newcastle
Arsenal 2-0 Newcastle
Liverpool 3:1 Newcastle
Chelsea 3: 0 Newcastle
Leicester 4: 0 Newcastle

Against Smaller Clubs
Newcastle 1:1 Man U
Newcastle 3:3 Brentford
Newcastle 1:1 Leeds
Newcastle 2:2 BH Albion
Newcastle 1:1 C. Palace
Newcastle 1:1 So'ton
Newcastle 1:1 Watford
Newcastle 1:1 Norwich

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Inst-image-26.jpeg
 
Jana Game Fitness ndio Ilitugharimu zile Game 2 zilizo ahirishwa zimefanya timu iwe Weak Wakati Newcastle wakicheza.

Ligi ya Uingereza Inabidi Isimame
 
Nyumbu na Ronaldo pipa na mfuniko
Kila mmoja zama zake zimeisha

Magwaya na varane yan bampa to bampa
Wanategemeana kufanikisha jambo moja nyeti sana
 
Kwa jinsi tulivyocheza jana tushukuru tumepata hata hiyo point 1. Manchester United kwasasa haipo levels za Man. City wala Liverpool kwa soka la uwanjani, United imebaki kuwa timu kubwa yenye wachezaji wenye majina makubwa lakini kitu kinachofanyika uwanjani ni 0. Timu yetu sasa hivi inategemea mpira wa bahati sana ni mechi chache tunashinda kwa kucheza mpira wa hadhi ya United.

Hii droo siyo mbaya sana kwa kile walichokifanya wachezaji jana, ukiangalia kuanzia game ya Norwich ni vitimu tulivyotakiwa kupiga siyo chini ya goli 3.

Kama Rangnick alivyosema kuibadilisha timu kiuchezaji siyo suala la muda mfupi, ukizingatia alipokuja hakupata muda mrefu wa ku-train na timu na baada ya Carrington kufungwa nahisi pia imeyumbisha timu kidogo.
 
Back
Top Bottom