fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,492
- 10,119
Kama sikosei tunahitaji wachezaji kama 5 hadi 8 wa kufit haya mabadiliko sawa na $400m tena au tunahitaji academy yetu ianze kutulipa fadhila sasa.hiyo ni process ya miaka 2.5, sidhani kama inashindikana