Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Wiki nzima kabla ya christmas walikua wanashinda vilabuni halafu wanasingizia Corona mbwa hawa.Hivi wachezji wetu Christmas Walilewa? Mbona Wamechoka Sana
Wiki nzima kabla ya christmas walikua wanashinda vilabuni halafu wanasingizia Corona mbwa hawa.Hivi wachezji wetu Christmas Walilewa? Mbona Wamechoka Sana
Unacheza pos gani Mzee?Sijui nistaafu mpira!
Kuna vinabo wawili wanaosababisha Man Utd isije na mpira muda mrefu namaanisha Mc Tominay na Rashid, hawa jamaa kila team inapokuwa na mpira lazima ipotelee kwao either kwa kutoa pasi zisizo na macho au kutuliza mpira hovyo.ukweli mchungu: Tusipokuwa na mpira Ronaldo ni liability. Timu inakosa balance kwa sababu ya huyuu mzee







Kosi la dunia.varane is back to kill us
magwaya alichoma bahati yake hatukufungwa, alipochoma varane sasa uuwi kikaumanaSijaangalia jinsi tulivyofungwa ila najua kosa litakuwa la Maguire.
Tominay leo anapoteza mipira kinoma, Rashid nae ana maamuzi kama kakatwa kichwa. Kama tusipobadili plan, kipindi cha pili tutaongezwa goli.Sijaangalia jinsi tulivyofungwa ila najua kosa litakuwa la Maguire.
Kwa umri wa Ronaldo timu ndio inatakiwa imssaidie yeye sio yeye aisaidie timuukweli mchungu: Tusipokuwa na mpira Ronaldo ni liability. Timu inakosa balance kwa sababu ya huyuu mzee



.