Kasemaje huyu jamaa?
Kasemaje huyu jamaa?
Mliwafunga ngapi?Wamepack Bus Sasa Lakini Tutawafungaaa
Yaan hizi nyumbu wkt hii formation imetumika kitamboTunaenda kuonyesha dunia style mpya ya uchezaji duniani 4 2 2 2![]()

Mmeshinda mechi mbili mkatuaminisha mmepata dawa.Tukubaliane tu gegen pressing inahitaji vijana wenye mapafu ya mbwa kama wale leeds united....
Wengine waliokuaminisha sio mie mdauMmeshinda mechi mbili mkatuaminisha mmepata dawa.
Huyu kocha kanishangaza kuamua kutegemea krosi zimpe ushindi tena against Newcastle, sioni kama shida ni wachezaji kocha ana mchango wake mkubwa tu.Wengine waliokuaminisha sio mie mdau
Kitambo tu najua pale tuna wachezaji wavivu
Kwanza wamepumzika wiki kariba 3 hawajacheza mchezo wwtePombe gani za kulewa siku 3 au mnawanunulia Banana?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pale ot taka taka zipo nyingi huu mfumo hawauweziGengen pressing is not for everybody ...
Mtu kama magwaya acheze gengen pressing wakati Hana akili ,labda acheze kenge kenge pressings.....
sijawai kumuelewa na Fred sio mchezaji wa level ya man uyo ilitakiwa awe Leeds huko, na mwenzie MC,