kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,025
- 15,810
sio kwamba yupo kwa mkopo huko?Gomes mbona aliondoka muda sana yupo lille sahizi
sio kwamba yupo kwa mkopo huko?Gomes mbona aliondoka muda sana yupo lille sahizi
Isiishe vibaya tu, hii game tunahitaji ushindi tu na si vinginevyo.Its game day!
Tumeisubiri kwa hamu sana hii siku.
Mmekaa zaidi ya wiki nzima ,mnaanza kumuogopa Newcastle aisee ,kweli nyumbu ni nyumbu tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo naona Newcastle wakifufukia kwetu
Norwich watu wamejipigia goli za kutosha ,nyie nyumbu mkashinda kwa mbinde Tena kwa penaly[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mechi za karibuni tumekuwa na uaba wa magoli kweli.
The boys were fantastic 😅😅😅Ralf amemwambia klabu itaheshimu mtazamo wake ila na yeye anapaswa aheshimu maslahi ya klabu, mpaka muda huu hakuna ofa iliotumwa juu yake hivyo ataendelea kubaki kikosini kwa sababu ya wingi wa michuano na taathira za ugonjwa wa Covid.
Nimempenda jamaa alivyo straight pindi anapozungumzia ishu za klabu tofauti na bwana yule wa the boys.
Kweli DKK ya 7 tiyari[emoji23]Lolote linaweza kutokea wakati wowote
Tuwe wakimya muda wote