Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Kipindi cha pili ameingia na akili mpya, ndani ya dakika 20 wamefunga goli 3.utadhani kocha wa leicester city ni chinua achebe dadeki, yani hana mfumo wowote kwenye hivyo mechi, wanachezewa robo tatu uwanja sio nusu tena dah, nasikitika kila nikiwaza eti kuna watu walikuwa wanampigia upatu brenda fassie awe kocha wetu
Man City 4 - 3 Leicester
