Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakata nini?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mnajichekesha aisee mnajitapa kufunga wachovu subiri mkutane na wanaume Chelsea ndio muipime team yenu msije baadae mkaanza na kauli za Ole out
Chelsea mbali mno young boys tu atawapiga
 
Usiidharau young boys
 
Sosha ni wakutimuliwa..anakosa extra edge kutufanya tubebe makombe..mfano hiki kikosi tulichonacho ni cha kunyanyua kwapa kabisa ila utashangaa tutakavyoondoka trophyless msimu huu.

Upuuzi mtupu..sosha atupishe aje hata Conte tubebe kombe.
 
Msimu uliopita tulitoka hatua ya makundi kizembe plus kufungwa na wale vilaza instanbul baseksehir.
 

Ronaldo haamini aisee anawaza anaanzaje kucheza uefa uropa league wakati kazoea kucheza UCL 😀😀😀
 
Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.
Baada ya hapo wameisaidia nin man united..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…