Ah Inabidi nikaoge na maji ya bahariUna gundu babu. Wenzako tupo hapa tunawanga mambo yanaenda unakuja wewe wanarudisha
Wape nondo awa nyumbuNyumbu kwenye moja na mbili 😂
View attachment 3574273
Katika kachezaji kapumbavu.
Nyie hamuoni mataji mnaona nafasi tuuBado naiona nafasi pale juu
Mataji bebeni nyie sie muda wa kubeba mataji bado haujafikaNyie hamuoni mataji mnaona nafasi tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelkenge leo mmeingia mkenge mkaishia kukalia k3nde.Hata msipotaka, lazima tuwakaze.
Naiona nafasi pale juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelkenge leo mmeingia mkenge mkaishia kukalia k3nde.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kabisaaa aiseeeNaiona nafasi pale juu