The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hastahili kuvaa jezi za utd kwakweli.Ighalo nae arudi kwao Gouanzhuu
Hastahili kuvaa jezi za utd kwakweli.Ighalo nae arudi kwao Gouanzhuu
Kocha hamna mule hata mbinu zake cjaziona wala nn tulicheza hovyo mpk walipoingia kina Bruno kwa uwezo wao binafsi ndo mpira ukabadilika, yeye yupo juu huko kaweka nne anajifanya introvert au co?
kumbe jamaa yupo fit★
Huyu Bailly tumeongea mara nyingi kwamba anastahili kuanza sema naye tatizo lake majeruhi mara kwa mara.
★
Hastahili kuvaa jezi za utd kwakweli.
Rashford na Martial ni mawinga while Greenwood ni pure no 9 ndio maana hana mambo mengi kama hao kaka zake na more clinical anahitajie aende gym aongeze nguvu kupambana na mabekiHahahahaa hizi comments hapa zinachekesha sana. Ila naunga mkono hoja, kweli Ole nae pia ni tatizo kwa sehemu kubwa kwa timu yetu kupata slow traction kwa sasa. Eric arejee kikosi cha kwanza kwa sasa pamoja na Dean anapaswa kuanza ahead of David.
Sijui kwa nini nafsi yangu ina imani kubwa sana na Mason Greenwood ni bora hata Ole ajaribu kujenga timu kumzunguka yeye, namuona akishika mpira anakuwa na madhara sana kuliko Martial na Rashford ukiwachanganya kwa pamoja. Kawazidi sana mpira ukiwa mguuni kwake kuna probability kubwa sana ya lolote kutokea pia anajua sana kuji-position.
Huyu mtoto ni genius tumpe muda, huwa nashangaa wadau humu wakisema hawezi kutokea pembeni no.7 wkt kwa jinc nnavyomuona mm naona kama ana madhara sn akitokea no7, kuhusu VDB kwa jinc nnavyoona Ole pia anaelekea kushindwa kumtumia mwisho nae ataonekana average player km Labille, yn huyu kocha huyu cjui km tutatoboa kwakweli, but all in all naunga mkono hoja kwamba tm imzunguke Mason japo tatizo litakuwa tayari kuna kiongozi halisi anayeitwa Bruno ambaye pia ni kocha uwanjaniHahahahaa hizi comments hapa zinachekesha sana. Ila naunga mkono hoja, kweli Ole nae pia ni tatizo kwa sehemu kubwa kwa timu yetu kupata slow traction kwa sasa. Eric arejee kikosi cha kwanza kwa sasa pamoja na Dean anapaswa kuanza ahead of David.
Sijui kwa nini nafsi yangu ina imani kubwa sana na Mason Greenwood ni bora hata Ole ajaribu kujenga timu kumzunguka yeye, namuona akishika mpira anakuwa na madhara sana kuliko Martial na Rashford ukiwachanganya kwa pamoja. Kawazidi sana mpira ukiwa mguuni kwake kuna probability kubwa sana ya lolote kutokea pia anajua sana kuji-position.





Hawa ni wachezaji gani?
Wachezaji wa sasa ni wavivu kuliko wakati wa SAF.Pamoja na umri wao lakini walikuwa bora kuliko hawa tulionao.
Wachezaji wengi tulionao ukiondoa Bruno siyo leader material wakati kikosi cha Ferguson ukiondoa Phil Jones na Lindergad wengine wote walikuwa leader material.
Kikosi chetu hakina Captain kina mvaa kitambaa tu.
Mwalimu hana ambition ya kuchukua mataji na timu nzima haina ambition ya kuchukua mataji.
Board haina ambition ya kuchukua mataji ndiyo maana mwalimu hapewi pressure ya kudeliver uwanjani.
Kikosi hakina wachezaji wenye ambition zao binafsi za kufika mbali hivyo huwezi kuona individual brilliance ikitamalaki uwanjani.
Kikosi chetu kimejaa wavulana kiumri, kiakili na kimwili unategemea wavulana wafanye vizuri ?
Kikosi cha Ferguson kilikuwa na wanaume hiki cha sasa ni wavulana how can you compare men with boys ??
Lingard anajua mpira. Ila amekosa kocha wa kumtumia.Ila mpira huu bwana we acha tuu! Mourino kumtaka Lingard mwenye goli 1 akiwa na umri wa miaka 27 msimu ulioisha EPL,,,, ila hana mpango na delle alli aliyemaliza na Magoli 8 + 4 assist . Sijui mashabiki wa- Tottenham wanajisikiaje kuletewa kilaza na kuondoa kipanga
Waingereza wenye kujua mpira wameshaisha.Delle ni mwingereza mwenye uwezo mkubwa sana
Maguire captain wa hovyo sana..Alafu wadau natoa wazo tuanzishe mgomo baridi kule twitter km wenzetu kina Ujugu ili Maguire avuliwe tambala apewe Bruno au mnaonaje wakuu![]()
Gnabry unamfananisha na Lingard ?Lingard anajua mpira. Ila amekosa kocha wa kumtumia.
Angalia Gnabry aliekuwa Arsenal na huyu wa sasa wa Bayern.
Hakuna mchezaji mbaya, ila makocha wengi hawajui.
Mbona Bayern, Liverpool na Wolves hawaonyeshi uvivu ?Wachezaji wa sasa ni wavivu kuliko wakati wa SAF.
Delle Alli anajuaWaingereza wenye kujua mpira wameshaisha.
Hawa wa sasa walamba mdomo hawafai.
Jamaa huwa ananishangaza sn.Gnabry unamfananisha na Lingard ?
Gnabry toka akiwa Arsenal alikuwa anajua labda hukumfatilia ,
Mna FA ngapi mkuu?Arsenal kushinda game mbili tu mmekuwa washaurii wakuu wa Man united .!!!!?
Oneni hata aibu basi tunawazidi kila kitu mtatushauri nini nyie ???
![]()
Anajua nini?Delle Alli anajua
Gnabry ulımfatilia kipindi cha Arsenal?Lingard anajua mpira. Ila amekosa kocha wa kumtumia.
Angalia Gnabry aliekuwa Arsenal na huyu wa sasa wa Bayern.
Hakuna mchezaji mbaya, ila makocha wengi hawajui.