Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Mkuu Man united unatuletea story za vikombe vya chai ?Mna FA ngapi mkuu?
Ukishindwa kujibu hilö, kwa heshima na unyenyekevu edit comment yako na ufute maneno 'kila kitu' wala usijihisi aibu na unyonge huo ndio uungwana na ukomavu, na sisi waungawana tutahesabu tu umeteleza kijana.
Ona hata aibu basi




