The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Umri co shida mkuu angalia mbn Bayern ina wavulana wengi na wako vizuri.Pamoja na umri wao lakini walikuwa bora kuliko hawa tulionao.
Wachezaji wengi tulionao ukiondoa Bruno siyo leader material wakati kikosi cha Ferguson ukiondoa Phil Jones na Lindergad wengine wote walikuwa leader material.
Kikosi chetu hakina Captain kina mvaa kitambaa tu.
Mwalimu hana ambition ya kuchukua mataji na timu nzima haina ambition ya kuchukua mataji.
Board haina ambition ya kuchukua mataji ndiyo maana mwalimu hapewi pressure ya kudeliver uwanjani.
Kikosi hakina wachezaji wenye ambition zao binafsi za kufika mbali hivyo huwezi kuona individual brilliance ikitamalaki uwanjani.
Kikosi chetu kimejaa wavulana kiumri, kiakili na kimwili unategemea wavulana wafanye vizuri ?
Kikosi cha Ferguson kilikuwa na wanaume hiki cha sasa ni wavulana how can you compare men with boys ??
Kuhusu ubora angalia Ginabry wa Bayern na wa Arsenal, angalia Muller wa Pep na wa ss, angalia Alcantara wa barca na yule wa Bayern ni tofauti kutokana na jinsi gani kocha anawatumia.
Mbn ajax ilikuwa na watoto wengi msimu uliopita na ikasumbua? Tatizo ni kocha tu na sio kitu kingine.
wanafaa kweli dawa zipo hata kagera sugar haijaona kweli
★

