Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team aina speed na wako very poor katika fiscal battle, kisha wanacheza sana back pass na wachezaji awapigi pass za kwenda mbele sijui uyu kocha amejifundishia wapi kozi yake ya ukocha, tutateseka sana na huyu kocha.
kila siku nazungumzia hili swala kuna watu wananipinga huyu kocha hana ufundi wala mbinu za mpira kufundisha timu kubwa inayohitaji matokeo kama man utd
 
timu linafanya vibaya sana mkuu hadi unashindwa utetee upande upi mara kipa mara beki mara kocha mara washambuliaji hata bodi inakata tamaaa wanamaliza kiungo na mabek de gea anaua bend wanamaliza viungo maguire na lindelof uchochoro daaa
Wanaambukizana kama mazombie, dawa yao tia kibiriti wote anza upya kama yanga
 
Vipi kuhusu Nuno Espirito Santo au Gian Piero Gasperin au Gareth Southgate ?
Makocha tutabadili sana, kama wasipobadili mfumo wa uendeshaji timu.

Toka SAF ameondoka ni kama tunajaribu kumtafuta the next-SAF.
(Moyes, LVG, MOU&OLE).

Kwa jinsi mpira ulivyochange tunaweza kukaa miaka 20, bila kumpata huyo kocha atakaeweza kuvaa viatu vya Babu.
 
DEMBELE KUTUA MANCHESTER UNITED

Manchester United wapo katika mazungumzo na miamba ya soka Barcelona juu ya uwezekano wa kufanikisha kumsajili, Ousmane Dembele.

[https://res]

Kwa mujibu wa Daily Record, vigogo hivyo vya soka kutoka Premier League wanamuhitaji Mfaransa huyo kwa mkopo huku Barcelona wanachohitaji wao ni kutaka kumuuza moja kwa moja kwa dau lenye thamani ya euro milioni 100.

Inadaiwa mpaka sasa uongozi wa Old Trafford akiwemo Ed Woodward wameshafanya mazungumzo na upande wa pili wa Barcelona juu ya uwezekano wa kumnasa nyota huyo.

My Take: Huyu naye tutaishia hivyo hivyo tu kuzungumza naye zen tutashindwana kwenye malipo, cz tunamtaka kwa mkopo ila barca wanataka mpunga.
 
€100M hata mimi nikiwepo kwenye board ya Man. Utd sitoi. Kwa mkopo hapo sawa tena mshahara uwe 50/50.
 
IMG_20200923_165833.jpg
 
Back
Top Bottom