Nimesoma maoni yenu wadau ila kwasasa pamoja na mapungufu ya ed woodward kwanza inapaswa OGS afukuzwe kazi, huyu kashindwa kuwapandisha viwango wachezaji tulionao, hana mbinu mbadala timu inapozidiwa, man utd haitaji world class player kuifunga crystal palace, man utd ni kubwa sana kwa OGS, kwanza hana maamuzi magumu, Last season De Gea kachoma sana kashindwa kumuweka benchi kwasababu ya jina,
Tunaitaji kocha ambaye Pogba au Rashford wakizingua wawekwe benchi, kocha mwenye sauti dressing room
Yule kocha wa Leeds anaitwa Marcelo Bielsa watu wanamchukulia poa ila bonge la kocha, very tectical,
Nina amini Bielsa ukimkabizi timu hii hii amtamini viwango vya wachezaj wetu vitakavyokua juu