Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hebu soma hiyo paragraph yako ya kwanza
Ok so hakuna sehemu nimesema kikosi cha Ferguson kilikuwa kibovu c ndiyo? Nilichosema ni kwamba kikosi cha ss hata Ferguson hakuwa nacho, ss hapo nimekosea?
 
Hebu soma hiyo paragraph yako ya kwanza
Kikosi kibovu hakijawahi kuchukua ubingwa ktk historia ya soka duniani, hapo nmefanya comparison ya vikosi na tukubali tukatae kikosi chetu cha ss ni kizuri sema tumekosa wa kuunganisha wachezaji na ndiyo maana hata aje nani pale utd ataonekana hovyo kwasababu kocha wetu bado.
 
IMG-20200922-WA0000.jpg

😆😆😆
 
Unaposema kikosi cha sasa hata Ferguson hakuwa nacho unamaanisha nini ?
Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
 
Kwahiyo Ferguson zama zake za mwisho alikuwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa ?
 
Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
Alikuwa na kikosi cha wazee au kilikuwa kibovu ?
 
Nafikiri tuachie hapa mana nimekuomba unioneshe sehemu nimesema kikosi kibovu hujanionesha, hv neno "kikosi kibovu" km ningeliamua kulitumia unadhani ningelishindwa? Kwa mfano pale man u ya ss japo tuna kikosi kizuri lkn bado tuna wachezaji wabovu pia na ni wengi wamejazana benchi kule na huwa nasema bila kupepesa macho.

Ss siwezi kuwa mnafki eti niseme kabisa Ferguson alikuwa na kikosi kibovu duuhh mkuu mbn una hatari ww, nilichofanya ni comparison kwmb kikosi hiki cha ss hata Ferguson hakuwa nacho ktk zama zake za mwisho mwisho, tuna wachezaji wengi wazuri lkn kocha hawezi kuwatumia.
 
Pia wengine ni wazuri ila ni wapuuzi pengine ni kutokana na ubora mdogo wa kocha wachezaji km

Rashford
Martial
Linderlof.. huenda co wabaya isipokuwa kocha huenda hawezi kuwafanya waonekane ni killers, imefika kipindi hata pogba anaonekana hovyo kabisa.
 
Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
Hapa napo umerudia kuwa Ferguson alikuwa na squad mbovu kuliko sasa hivi unataka nionyeshe nini wakati wewe mwenyewe umesema.

Hivi striking force ya
Van Persie, Wayne Rooney, Chicharito na Dany Welbeck ni mbovu kuliko striking force ya Rashford, Martial, Greenwood na Ighalo ?

Je defence force ya
Nemanja Vidic, Rio Ferdinand, Chris Smalling Patrice Evra, Rafael Da Silva na Fabio Da Silva iko sawa na hii ya kina Lindelof, Maguire na mgonjwa Bailly ?

Kwenye midfield ya

Darren Fletcher, Paul Scholes, Ryan Giggs, Antonio Valencia, Shinji Kagawa, Michael Carrick, Jisung Park utalinganisha na hii midfield ambayo ikipiga pass mbili lazima ipoteze mpira ?
 
Pia wengine ni wazuri ila ni wapuuzi pengine ni kutokana na ubora mdogo wa kocha wachezaji km

Rashford
Martial
Linderlof.. huenda co wabaya isipokuwa kocha huenda hawezi kuwafanya waonekane ni killers, imefika kipindi hata pogba anaonekana hovyo kabisa.
Kwahiyo umeondoa hoja yako kuwa hii squad ni Bora?
 
Hapa napo umerudia kuwa Ferguson alikuwa na squad mbovu kuliko sasa hivi unataka nionyeshe nini wakati wewe mwenyewe umesema.

Hivi striking force ya
Van Persie, Wayne Rooney, Chicharito na Dany Welbeck ni mbovu kuliko striking force ya Rashford, Martial, Greenwood na Ighalo ?

Je defence force ya
Nemanja Vidic, Rio Ferdinand, Chris Smalling Patrice Evra, Rafael Da Silva na Fabio Da Silva iko sawa na hii ya kina Lindelof, Maguire na mgonjwa Bailly ?

Kwenye midfield ya

Darren Fletcher, Paul Scholes, Ryan Giggs, Antonio Valencia, Shinji Kagawa, Michael Carrick, Jisung Park utalinganisha na hii midfield ambayo ikipiga pass mbili lazima ipoteze mpira ?
Heheheheheeee unajua mkuu nakuheshimu ila unataka nianze kujiuliza, hicho kikosi unachokitaja nimekwambia hakikuwa kibovu isipokuwa wachezaji wengi walikuwa ktk zama zao za mwisho mwisho, angalia umri wao af angalia umri wa ss, hicho kikosi ulichokitaja ww hapo km utaangalia majina ni makubwa kuliko hata kikosi cha ss cha Liverpool, je unataka kutuaminisha kwamba kikosi hicho kilikuwa bora kuliko cha Liverpool cha ss?

Unafananisha ubora wa Ferdinand, Evra, Vidic na hawa wa ss, ukweli ni kwamba hao walicheza katika ubora wa hali ya juu sn enzi zao lkn kumbuka comment yng nilisema zama za mwisho mwisho za Ferguson hao walikuwa hawana ubora wao tuliouzoea walikuwa wameshaanza kulega lega na ndiyo maana cku ile pale Wembley tuliishia kuaibishwa na km isingekuwa huruma ya barca tungepigwa hata 8.

Kikosi cha ss co kibovu, huwezi kuniambia eti Maguire mbovu, Linderlof mbovu, Pobga mbovu, isipokuwa kocha ndiyo hatoshi hebu angalia hk kikosi ni kweli kilikuwa kina majina makubwa mengi lkn mbn baada ya Ferguson kuondoka wengi hawakudumu
Screenshot_2020-09-22-09-55-58.jpeg
 
Heheheheheeee unajua mkuu nakuheshimu ila unataka nianze kujiuliza, hicho kikosi unachokitaja nimekwambia hakikuwa kibovu isipokuwa wachezaji wengi walikuwa ktk zama zao za mwisho mwisho, angalia umri wao af angalia umri wa ss, hicho kikosi ulichokitaja ww hapo km utaangalia majina ni makubwa kuliko hata kikosi cha ss cha Liverpool, je unataka kutuaminisha kwamba kikosi hicho kilikuwa bora kuliko cha Liverpool cha ss?

Unafananisha ubora wa Ferdinand, Evra, Vidic na hawa wa ss, ukweli ni kwamba hao walicheza katika ubora wa hali ya juu sn enzi zao lkn kumbuka comment yng nilisema zama za mwisho mwisho za Ferguson hao walikuwa hawana ubora wao tuliouzoea walikuwa wameshaanza kulega lega na ndiyo maana cku ile pale Wembley tuliishia kuaibishwa na km isingekuwa huruma ya barca tungepigwa hata 8.

Kikosi cha ss co kibovu, huwezi kuniambia eti Maguire mbovu, Linderlof mbovu, Pobga mbovu, isipokuwa kocha ndiyo hatoshi hebu angalia hk kikosi ni kweli kilikuwa kina majina makubwa mengi lkn mbn baada ya Ferguson kuondoka wengi hawakudumu View attachment 1576967
Kikosi cha sasa ni kizuri kwenye makaratasi tu ila ni kibovu kuanzia

Miguuni mpaka kichwani.
 
Pamoja na umri wao lakini walikuwa bora kuliko hawa tulionao.

Wachezaji wengi tulionao ukiondoa Bruno siyo leader material wakati kikosi cha Ferguson ukiondoa Phil Jones na Lindergad wengine wote walikuwa leader material.

Kikosi chetu hakina Captain kina mvaa kitambaa tu.

Mwalimu hana ambition ya kuchukua mataji na timu nzima haina ambition ya kuchukua mataji.

Board haina ambition ya kuchukua mataji ndiyo maana mwalimu hapewi pressure ya kudeliver uwanjani.

Kikosi hakina wachezaji wenye ambition zao binafsi za kufika mbali hivyo huwezi kuona individual brilliance ikitamalaki uwanjani.

Kikosi chetu kimejaa wavulana kiumri, kiakili na kimwili unategemea wavulana wafanye vizuri ?

Kikosi cha Ferguson kilikuwa na wanaume hiki cha sasa ni wavulana how can you compare men with boys ??
 
Back
Top Bottom