Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Luton wako vizuri ningependa kuwajua undani wao kwa betting lakini siyo hii mechiBora kwenda kulala tu hapa
Team aina speed na wako very poor katika fiscal battle, kisha wanacheza sana back pass na wachezaji awapigi pass za kwenda mbele sijui uyu kocha amejifundishia wapi kozi yake ya ukocha, tutateseka sana na huyu kocha.Man U hawana mbinu kabisa timu pinzani inapo park bus
Sasa cha ajabu nini hapo?? Kwani Lingard amewahi kupata bao.? Labda bao la Puli