Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mimi kama umenichunguza siku hizi hapa JF maswali yote ya kipumbavu siyajibu. Nadhani huyo jamaa hilo swali aliniuliza mimi nkaona nimpotezee tu
Mkuu niseme ukweli sinaga umbea kuingia kwenye forum za timu zao hawa majamaa. Wanakuja humu wanatutia kinyaa tu. Wanajua man utd ni timu kubwa wanalazimisha iwe kama asernal
 
Wakuu naombeni rradhi
Tabia ya kumzungumzia lukaku inanikera Sana.

Sioni sababu ya habari za mchezaji ambaye ashasepa zake. Wangapi wameondoka Herrera,na wengine wengine tu wazuri walikuja na kuondoka who is lukaku?

Nawahikikishia pogba akiondoka nitakuwa na amani
 
Romelu Lukaku jina kubwaaaa ww !!!!!unakasirika nn sasa?? wakati mlivyokuwa mnamsema vibaya mnadhan alikuwa anafurahia???

Sása ni muda wa kuwakeraaaa
 
Ni kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.

Bodi ya arsenal walishakubaliana AMN auzwe ila kocha akasema laa. Lukaku kumuondoa ilikuwa ni kosa kubwa sana
Arsenal kushinda game mbili tu mmekuwa washaurii wakuu wa Man united .!!!!?

Oneni hata aibu basi tunawazidi kila kitu mtatushauri nini nyie ???

Mkuu hiki kikosi tulicho nacho kwa ss hata Ferguson hakuwahi kuwa nacho ktk zama zake za mwisho mwisho na bado akabeba mataji, kikosi chetu ni cha gharama na co tu gharama ilihali wachezaji wabovu la hasha bali asilimia kubwa wachezaji ni wazuri tu.

Jenga picha una De gea, pogba, Matic, VDB, Bruno, hao wote ni classic players unataka nini zaidi hapo?

Hebu fikiria kocha anashindwa kumtumia pogba, anamchezesha chini ili akabe ss we pogba na kukaba wapi na wapi, kocha anashindwa kufahamu kwamba linderlof hastahili kuanza, kocha ana wapuuzi kibao the likes of lingard, Pereira, Jones, Smalling lkn anashindwa kuwauza na hawachezi huku wanakula mishahara ya bure alafu anataka pesa ya kusajili.

Anashindwa nn kuwauza hao mizigo ili apate pesa za kununua hao anaowataka? Kocha anashindwa kupanga kikosi wakati hata km hatutaongeza mchezaji lkn bado tuna kikosi kizuri ambacho kocha anayejua lazima afanye vizuri.

Sawa ndiyo tumebadilisha makocha lkn haitoshi kuamini kwamba tupo kwenye mikono salama ya Ole, bado tuendelee kutafuta kocha mzuri au km itashindikana basi SAF arudi japo kwa misimu miwili tu aweke mambo sawa.
Yaani hiki kikosi ni bora kuliko alichokuwa nacho Ferguson msimu wake wa Mwisho ???

Duh ama kweli ukitaka kumuua mbwa unampa jina baya.
 
Tumia resources ulizonazo kupambania kombe. Anajua wazi hatopewa wachezaji wote aliowataka, angehakikisha anaficha mapungufu ya team.

Kwanini Lindelof awe uchochoro leo na sio misimu iliopita? Rashford na Martial wamepunguza viwango kupita maelezo, Pogba sio wa kucheza hovyo hivi kuliko alipotoka Juve.

Wachezaji tuseme karibu wote wameshuka viwango. Na tatizo kocha ni Laissez Fair. Na wachezaji wanamuona kama mshkaji mwenzao.

Utashangaa msimu ujao wanawekwa sokoni, atataka wengine apewe.
Hapa panaweza kuwa na ukweli. Kocha has to be ruthless, lazima kuwe na kauwoga flani hivi kutoka kwa wachezaji juu ya kocha
 
Arsenal kushinda game mbili tu mmekuwa washaurii wakuu wa Man united .!!!!?

Oneni hata aibu basi tunawazidi kila kitu mtatushauri nini nyie ???

Mkuu,

Sote tunagombania vikombe vitano each season namely

1. EPL
2. FA cup
3. Carabao cup
4. UEFA / EUROPA
5. Community Shield.

Hakuna zaidi ya hivyo ndugu, sasa mimi mwenzio nshatoka kimasomaso. Vimebaki vinne, jitathmini hebu hahahahahahah
 
Nakubaliana na wewe OLE kwa kiasi fulani hana ufundi wa kuirudisha ManU top level.

Ila hiyo mifano uliyoitumia inaifnya hoja yako ikose nguvu.

Unauliza kwanini OLE anamchezesha Pogba kama kiungo wa chini ili akabe.

Ole anamtumia hivyo si kama kiungo mkabaji, ndio maana mara zote huwa anacheza na Matic, McT, au Fred.
Lengo ni atumike kama mwanzilisha mashambulz kutokea chini.

Na ndivyo hivyo anatumika kwenye kikosi cha France.
Nafikiri Pogba sio a complete 10, ndio maana makocha wengi hawampangi kwenye hiyo namba.

Pia OLE hausiki kwenye kuuza wachezaji.
Mimi kanishangaza kusema Ole ana kikosi bora kuliko cha Ferguson alichochukua nacho ubingwa mara ya mwisho.

Timu iliyokuwa na striker watano unaweza kuilinganisha na hii ya Ole ?
 
Mkuu,

Sote tunagombania vikombe vitano each season namely

1. EPL
2. FA cup
3. Carabao cup
4. UEFA / EUROPA
5. Community Shield.

Hakuna zaidi ya hivyo ndugu, sasa mimi mwenzio nshatoka kimasomaso. Vimebaki vinne, jitathmini hebu hahahahahahah
Arsenal hamna cha kuishauri Man united mkuu.

Tunakila kitu sana sana nyinyi ndiyo mnapaswa kuomba ushauri kutoka kwetu
 
Nimesononeshwa sana na matokeo, katika Akili yangu predictition before the match nilijua tunampiga crystal palace mkono.

Kilichonipa moyo ni uwepo wa wachezaji wanaochezea another level? Kwa kwel nimeshindwa kuelewa

Vdb,pogba, Bruno walitosha kunipa imani lkn ikawa opposite
Timu ilikuwa haifanyi mazoezi ile ndiyo maana hakukuwa na match fitness kwa wachezaji.

Hata leo nina wasiwasi kama tutashinda maana wachezaji ni kama vile wako maternity leave.
 
Naona ratiba yetu na Nyumbu inachelewa.... Tukitoka kuwanyonyoa Majogoo jumapili next game tuletewe kwanza hizi nyumbu tuzifundishe adabu....please FA badilisheni ratiba kwanza tusogezeeeni huyu kigori mwenye macho ya mdori tumpige mabusu motomoto kabla hajatumika sana na akina Everton hawa
Vipi mlifanikiwa kuwanyonyoa majogoo ?
 
Yaani hiki kikosi ni bora kuliko alichokuwa nacho Ferguson msimu wake wa Mwisho ???

Duh ama kweli ukitaka kumuua mbwa unampa jina baya.
Mkuu ninachotaka kumaanisha hapa ni kwamba km Ferguson angelikuwa na kikosi cha ss pale Wembley wala asingeliishia kutetemeka.

Kikosi cha ss wala co kibovu km watu wanavyotaka kutuaminisha, kina mapungufu machache tu ambayo kocha alipaswa kuyafanyia kazi na kuweka muunganiko wa timu na akapata kikosi bora kabisa.
 
Punda kama Punda.. tafuteni kabisa wa kumuangushia jumba bovu baadae.... Mmekua kama Namungo tu

#COYG
 
Mkuu ninachotaka kumaanisha hapa ni kwamba km Ferguson angelikuwa na kikosi cha ss pale Wembley wala asingeliishia kutetemeka.

Kikosi cha ss wala co kibovu km watu wanavyotaka kutuaminisha, kina mapungufu machache tu ambayo kocha alipaswa kuyafanyia kazi na kuweka muunganiko wa timu na akapata kikosi bora kabisa.
Ulisema kikosi chake cha mwisho kilikuwa kibovu kuliko hiki au unahamisha goli ?
 
Mkuu hiki kikosi tulicho nacho kwa ss hata Ferguson hakuwahi kuwa nacho ktk zama zake za mwisho mwisho na bado akabeba mataji, kikosi chetu ni cha gharama na co tu gharama ilihali wachezaji wabovu la hasha bali asilimia kubwa wachezaji ni wazuri tu.

Jenga picha una De gea, pogba, Matic, VDB, Bruno, hao wote ni classic players unataka nini zaidi hapo?

Hebu fikiria kocha anashindwa kumtumia pogba, anamchezesha chini ili akabe ss we pogba na kukaba wapi na wapi, kocha anashindwa kufahamu kwamba linderlof hastahili kuanza, kocha ana wapuuzi kibao the likes of lingard, Pereira, Jones, Smalling lkn anashindwa kuwauza na hawachezi huku wanakula mishahara ya bure alafu anataka pesa ya kusajili.

Anashindwa nn kuwauza hao mizigo ili apate pesa za kununua hao anaowataka? Kocha anashindwa kupanga kikosi wakati hata km hatutaongeza mchezaji lkn bado tuna kikosi kizuri ambacho kocha anayejua lazima afanye vizuri.

Sawa ndiyo tumebadilisha makocha lkn haitoshi kuamini kwamba tupo kwenye mikono salama ya Ole, bado tuendelee kutafuta kocha mzuri au km itashindikana basi SAF arudi japo kwa misimu miwili tu aweke mambo sawa.
Hebu soma hiyo paragraph yako ya kwanza
 
Back
Top Bottom