Mtoe LFC hapo,Mkuu PSG mbele wana Neymar, Mbappe, Icardi
Midfield yao wana Ander Herrera, mzee wa tackles Msenegali Idrissa Gueye, fundi wa pasi Leandro Daniel Paredes, Fundi wa kitaliano Marco Veratti, fundi wa Kihispaniola Pablo Sarabia
Beki wana fullbacks za Ukweli Bernat na Kurzawa, center half fundi wa kibrazil Thiago Silva
Sasa hapo wamuongeze na Koullibally kwenye kikosi ! kwa nini wabahili kama Bayern, LFC, Arsenal, England United wasiisome namba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata pep...rejea BarcelonaKuna makocha wapo wapo wanaotumia vijana kuleta mabadiliko.
Wa Ajax
Diego Simeone
Yule Wa Rb Leipzig
hujaona hii ya braza?We are on fireeeeee
Feck off Mourinho..
LFC katika historia yake toka kuanzishwa imeshawahi nunua mchezaji wa £100m?
Tranmere bana yaani Goli 6 bado wapo wapo kama ndio game inananza pamoja na mashabiki wao nimeipenda spirit hiyo.
Huko katimu ka Astana kanafurahia kuifunga Man U naamini wametengeza Frem yenye matokeo na kuweka Makumbusho.
Manchester united bana Thank You Sir Alex Ferguson.
Ila huyu Viking wa Norway Ovyo
Sasa mkuu aliyemwajiri ed ni nani? Tena inawezekana ed ndio hana tatizo.Glazers family hawana tatizo...ila tatizo lipo kwa ed woodward..huyu ndo anapaswa kuondoka, mbona enzi zile mwenzie David Gilly alifanya kazi nzuri tu na grazers family
SuperbHata Mou naye alianza hiv hiv! Badaye midomo ikainuka. Eken akiba ya maneno
A cleared foreseeability!Superb
Wapi mkuu huonekani humu siku hizi...njoo basi mmeshinda leoEti wanasema sababu ni katimu ka mchangani, sasa nikashangaa wangetufunga hako katimu kama wao wangetucheka kweli kweli,eti nyie tu ndo leo hamjafungwa......!!
Glory Glory Manchester United!!! ..... hongereni wadau kwa ushindi,mwanzo mzuri
Na kilielewekaThank u United, leo nalala vizuuuuri
City kapigwa, points alizotuzidi zimepungua, kutoka 19 hadi 16
Chelsea kapigwa, sasa hivi bado points 8 kutoka 11 tuwe top 4
Mpaka May, lazima kieleweke
HeheheRashford out Lingard in 86th Min.
Hii sawa kinatoka kifaa kinaingia kifaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni keanu leeves kwenye avatar mkuu?Hiyo ndiyo nafuu kwetu kama tukitumia hilo pengo mambo yatakuwa mazuri
.
Tunafukua makaburi leo
mkuu usajili wa mwisho wa man u wa maana ni kipindi kile cha kina rooney, ronaldo, tevez etc toka glazer atanue umiliki wake man U tukaanza kusajili kina Valencia, Butner, etc hii ni list ya wachezaji 20 wa mwisho ambao ferguson aliwasajiliGlazers family hawana tatizo...ila tatizo lipo kwa ed woodward..huyu ndo anapaswa kuondoka, mbona enzi zile mwenzie David Gilly alifanya kazi nzuri tu na grazers family
Hahaha apo kwa Chelsea unatakiwa uulize anaongoza ngapi sio 'Chelsea vip uko'?Jinsi ya kuuliza matokeo sasa hivi ni kama ifuatavyo
1 Liverpool kashinda ngapi ?
2. Man city katokaje ?
3. Man u kapigwa ngapi ?
4. Chelsea vipi huko ?
5. Arsenal kapona leo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ole kabula ajasaini mukataba ci alikuwa vizuri tu ..nin kimemukumba tena? Nakumbuka mulikiwasha gemu kma saba ivi dah ..Joh Doe, Management yote ya Man Utd ilitskiwa ijae watu wa mpira.
Kungekuwa na DoF. Hata Ole asingekuwa kocha wa United.
Tungetegemea kutoyumba kwa kiasi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile draw imewapa kiburi..munaongea ongea tuChelsea anaiogopa Arsenal ya wachezaji kumi
Haha ngoja utaona