Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole anataka kumuondoa na Sanchez tena ili aendelee kuleta subs zake za dogo Greenwood.

Naona Martial mwishoni ameumia,mbadala wake ni nani?
Wakina Tuanzebe si wapo banaaa..watacheza ata false nine tu kwani vip..
 
Mashabiki wa Manchester city, Liverpool,chelsea hamuwezi kukoment humu bila matusi?

Kama matusi ndo raha yenu basi jaribu kufikiri unatukana mtu sawa na babako?

MKUYENGE narudia jiheshimu.
Mkuu punguza jazba hatutukani bali tunasema ukweli tu. Mtamaliza ligi nafasi ya 6 msimu huu
 
Hapo ndipo nilichoka kabisa mkuu, au basi angeingiza hata Mata kama hamuamini Matic kabisa.

Hadi hapa naamini Ole pamoja na ubovu wa timu katika usajili,jamaa ni mbabaishaji tu.
Alitakiwa aingie Matic huyo Mata sio mkabaji then Pogba acheze nyuma ya Martial
 
Hahahahaha kwanza hongera sana ushindi mnono mkuu ...Huyu arsenal ni kama kasichana Fulani kazuri ambacho hupatagi shida kukagonga (natania tu)

Sasa hawa Man united tuwafanyeje mkuu ..maana wana magwaya, Bissaka, Pogba, mbele usisemu ndo balaa kuna uyo Rashid na hakamatiki, kuna uyo Lingard Salah akasome... sasa cjui wanakwamia wapi aise ...
 
Huyu Martial pia tunamlaumu tu lakini huko mbele mipira yenyewe haifiki ya uhakika.
 
Maguire hana tatizo. Tatizo liko katikati. Pogba ni kama anacheza yeye na kivuli
Pogba pale kati kawekewa Scott McTominay dogo ambae kwa kweli sio wa kumtegemea kukaba kwa mafanikio makubwa na hata kucheza nane bado pasi zake sio zile za mantiki yaani kifupi bado sana ana safari ndefu

Lingard afadhali dunia leo imemuona maana tuliokuwa tunamshambulia tulionekana tunabwabwaja
 
Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...



Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..


Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...

Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..



Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"




Nawatakia Weekend Njema..
Hahahahahahahaahaha

Ahsante mkuu nawe pia weekend njema..
 
Tunakumbushana tu

Msimu uliopita United dhidi ya Chelsea nyumbani, Wolves away na Cristal Palace nyumbani tulivuna jumla ya pointi 2 (tuli draw na Chelsea, tulipigwa na Wolves na tuka draw na Cristal Palace

So far katika fixtures zetu na hizo timu, tuna points 4 na kiporo cha Cristal Palace

Kuna watu hawataipenda hii taarifa
muna point nne na kiporo cha......
 
Yah pale baryen ilifika kipind kina Karl Henze ,Uri hoanes , wakashindwa kumuelewa, wakaona hana jipya,maana kuna wachezaji walishindwa kupafom chin ya pep, na waliletwa kwa gharama kubwa.

Pep mwenyewe anakili hakuna MTU anayemuhusudu kama Txiki Begiristain kaongea juzi juzi hapa ,huyu ndio Yupo nyuma ya mfumo wa Tiki taka.....
Kwani arsenal Hamuna mutu kama uyo mkuu
 
Back
Top Bottom